Nataka Kujua..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka Kujua.....

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bushbaby, Oct 18, 2012.

 1. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Nataka kujua, hivi ulipokuwa mdogo lipi kati ya haya hukuwahi kufanya?

  ~ Kulilia soda ya Mgeni

  ~ Kucheza kombolela....kujifichaa!

  ~ Kukojoa kitandani....

  ~ Kulamba kamasi....

  ~ Kugoma kuoga...

  ~ Kulamba Sukari...

  ~ Kulilia nguo ya sikukuu

  ~ Kusingizia unaumwa usiende Shule....

  ~ Kucheza Baba na Mama...

  ~ Kudokoa Mboga???

  UKITABASAMU TU...YOTE UMEFANYA....
   
 2. MASELE

  MASELE JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  haya bwana
   
 3. AKON

  AKON JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kudokoa slesi za mkate...
   
 4. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kuoga mtoni....
   
 5. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  mkuu vp yote umeona ya kweli nini...!!
   
 6. AKON

  AKON JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kuogopa kuoga maji ya baridi,, mi nlikuwa nikilazimishwa kuoga naenda bafuni najipaka maji na sabuni kwa mbaali,, haa haa utoto bwana.
   
 7. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Ukifika bafuni unahesabu mpk tatu then unajimwagia pwaaaa!! ukitoka mgongo wote mkavu.......
   
 8. AKON

  AKON JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  TEH TEH au unajirushia maji mgongoni afu unayakwepa...
   
 9. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Mi yote sijafanya isipokuwa mchezo wa baba na mama tu
   
 10. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  !!! Kuruka dirishani darasani,ticha akikuanzishia so... Breki ya kwanza om.
  !!! Kuweka madaftari matakoni ukiwa na msala wa bakora skuli.
  !!! Kufanya ngono juu ya dawati.
  !!! Kuweka kioo chini ya dawati ya wadada ucheki chuuupi.
  !!! Kupigana mara baada ya kutawanyishwa skuli shuleni,kisa mligombana mchana class,mkaogopa tcha atawamaindi mkizidunda.
   
 11. Root

  Root JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,236
  Likes Received: 12,949
  Trophy Points: 280
  Kulilia soda ya mgeni

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 12. J

  JAMSHID Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hayo yote waala!! ila 1 kati ya hayo ambalo huachi hadi udhurumiwe uhai wako ndo mwisho wake
   
 13. S

  Sparkle boy Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hapo ndipo pabaya!!! kuiba sukari meen!
   
Loading...