Kama huijui saini ya Obama hii hapa

Kama huijui saini ya Obama hii hapa

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,850
Saini ya Barack Obama ni simple, haina complications na herufi zinaonekana. Baadhi yetu tunaweza kuiga mfanoo huu, maana wengine saini zetu full kukoroga hata herufi moja haionekani. Unakua na signature complicated kiasi kwamba unaisahau baada ya wiki tu. Ukienda bank unaambiwa umesaini tofauti unaanza kuhaha.


150213095425-24-obama-0213-exlarge-169.jpg



 
Hivi saini huwa ni lazima ikorogwe?nakumbuka pia zamani tukiwa wadogo mtu akiambiwa aweke saini anarudia kuandika jina lake sehemu ya saini sasa sijui ni kosa kuandika jina Mara ya pili.
 
Ngoja nitupie yangu, tuone mimi na Barack nani mkorogo
 
Sahihi za wote wenye hela(matajiri/wanasiasa/maseleb wa mbele kwa kusaini autograph za mashabiki)
Huwa ni simpo tu.

Ila wenzangu na mimi.......tunazichoraaa na kuzungusha utadhani kiwavi jeshi kapita ili zisiingwe.
 
150213095425-24-obama-0213-exlarge-169.jpg


Maana wengine saini zetu full kukoroga hata herufi moja haionekani baada ya wiki tu ushaisahau ukienda bank unaambiwa umesaini tofauti unaanza kuhaha.....hahahahahaaa

182px-Barack_Obama_signature.svg.png
Je hii????? acheni uongo.
 
Hii hapa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mh Dr Prof Jakaya Mrisho Kikwete

s09b.gif
 
Sahihi za wote wenye hela(matajiri/wanasiasa/maseleb wa mbele kwa kusaini autograph za mashabiki)
Huwa ni simpo tu.

Ila wenzangu na mimi.......tunazichoraaa na kuzungusha utadhani kiwavi jeshi kapita ili zisiingwe.

Hahahaaa
 
Saini ya Barack Obama ni simple, haina complications na herufi zinaonekana. Baadhi yetu tunaweza kuiga mfanoo huu, maana wengine saini zetu full kukoroga hata herufi moja haionekani. Unakua na signature complicated kiasi kwamba unaisahau baada ya wiki tu. Ukienda bank unaambiwa umesaini tofauti unaanza kuhaha.


150213095425-24-obama-0213-exlarge-169.jpg




Anakunywa gongo? Mbona inaonekana alikuwa akitetemeka Sana? Au alisainiwa na Lowassa?
 
Ndo ya mkono wa kushoto tuonyeshe ile ya mkono wa kulia ambayo unatambulika na CIA na FBI ha!ha!
 
Sahihi za wote wenye hela(matajiri/wanasiasa/maseleb wa mbele kwa kusaini autograph za mashabiki)
Huwa ni simpo tu.

Ila wenzangu na mimi.......tunazichoraaa na kuzungusha utadhani kiwavi jeshi kapita ili zisiingwe.

hahahahahahaha.....my ribs
 
Back
Top Bottom