Kama hii ni kweli basi Wanaume wengi tunachekwa sana Vitandani

Inasemekana kwamba ukiwa unafanya mapenzi / unabaiolojiana na Mwanamke yoyote yule halafu pale unapomaliza mshindo wako / unapiga bao lako la Kichuya au Ajib halafu ukaona Yule Mwanamke hakukumbatii kwa kukubana kwa nguvu kabisa hadi hata unashindwa kupumua vizuri na kutikisa kabisa mwili wako na Fito zako ( miguu ) basi jua ya kwamba hapo 100% hujamfikisha / hujamtosheleza Kimahaba na ulichokifanya Kisayansi wanasema work done zero.Ila ikitokea kinyume chake basi jua kwamba Mwanamume umeshughulika na Mwanamke kafika katika Kilele chake cha Utamu na Raha ya Mkuyenge wako.

Je kuna Wanabaiolojia wenzangu hasa Wanaume wenzangu je hapa kuna ukweli wowtote labda? Hii habari / taarifa nimeipokea kwa mshtuko mkubwa mno hadi nimeshakosa raha kwani kusema kweli Mimi binafsi nakumbuka kabisa mwaka wa mwisho Kukumbatiwa hivyo kama ilivyobainishwa hapo juu nadhani ilikuwa ni mwaka 2000.

Sasa nawaza tu mwenyewe ( Am just thinking aloud ) kwamba kumbe inawezekana kabisa GENTAMYCINE tokea mwaka 2001 hadi sasa 2017 Wanawake / Mademu wote niwaowabandua / ninaobaiolojiana nao nafanya tu hiyo work done zero? Kwani sijawahi Kukumbatiwa hivyo kama hao Wataalam wa Mapenzi / Mahaba wanavyosema hapo juu.

Na sijui kwanini na Mimi niliamua kumuhoji hili swali huyu Mtaalam kwani hayo majibu yake sasa yamekuwa ni maumivu na mateso makubwa sana moyoni mwangu ila moyo wangu utatulia pale labda na Wataalam wengine wa JamiiForums watakapoliweka hili sawa. Yaani nawaza kwahiyo kumbe kujipinda Kwangu kote tokea 2001 hadi sasa 2017 nafanya Kazi bure tu / work done zero mbele ya Mbunye?

Nawasilisha.
Nimetoka kutafuta hela sasa iv
Sasa icho ulichouliza ndio jawabu alaf kuna wengine wana roll viuno tu
 
Mkuu mbona 2001-17 ni parefu sana....haya mambo pia ni fani so km sio fani yako ww jiburudishe mwnyw tu nae ataenda kuburudishwa hukoo..
Wanawake wapo tofauti sn maana wengine ukiwatazama tu wamelegea hoii,ukinyonya chakula ya mtoto wanapata uchizi ghafla na ukishika askari wake anamaliza kabla ya pambano na ukimpa dushe kila dk5 anavunja dafu na km unaweza kumpiga dushe kwa dk15 atakua kavunja 4.ukimpata sugu utaimba aleluyah
 
MKUU HUO UKUMBATIAJI SYO LAZMA UTOKEE WAKAT WA WEWE KUMALIZA

NI KWAMBA WAKAT MNASEX KUNA MDA ANAKUBANA SANA NA KUIFUATA SANA DUSHE ANAKUSHKILIA KWA NGUVU, HAPO UNAKUWA UMEMKUNA SAWASAWA, AKIMALIZA ANAKUACHIA..

MIMI SJAWAH KUSX BILA KUMFKSHA DEMU DOWN

comment chokonozi hii aisee dah
 
comment chokonozi hii aisee dah
At a mm sijawahi kumuacha mtoto Wa watu bila kuridhika maana ni dhambi, kuna mmoja huyo nilimpelekea moto maana goli lake lilikuwa mbali sana back alivyofika dah mtoto akaniambia anataman aukate mkono wangu Wa 3 abaki nao geto kwake ili ajisugulie dah nilicheka sana that day
 
Si wanawake wote wanakumbatia hivyo wanapokojoa.
Wengine hujiachia tu kila hutoa ishara fulani km wanamwaga kojo la kikubwa.

Pili,kukumbatiwa huko hutegemeana na style mnayochapana.

Endelea kula mzigo tu,ukikushinda niletee.
 
Kwenye haya mambo 'there's no one size fits all'..

Wapo wakumbatiaji kama mpo staili ya asili...wapo wanaoichomoa mpk dushe kutokana na kujikunjakunja & kujigeuzageuza...ilhali wengine huzima kabisa!
 
Inasemekana kwamba ukiwa unafanya mapenzi / unabaiolojiana na Mwanamke yoyote yule halafu pale unapomaliza mshindo wako / unapiga bao lako la Kichuya au Ajib halafu ukaona Yule Mwanamke hakukumbatii kwa kukubana kwa nguvu kabisa hadi hata unashindwa kupumua vizuri na kutikisa kabisa mwili wako na Fito zako ( miguu ) basi jua ya kwamba hapo 100% hujamfikisha / hujamtosheleza Kimahaba na ulichokifanya Kisayansi wanasema work done zero.Ila ikitokea kinyume chake basi jua kwamba Mwanamume umeshughulika na Mwanamke kafika katika Kilele chake cha Utamu na Raha ya Mkuyenge wako.

Je kuna Wanabaiolojia wenzangu hasa Wanaume wenzangu je hapa kuna ukweli wowtote labda? Hii habari / taarifa nimeipokea kwa mshtuko mkubwa mno hadi nimeshakosa raha kwani kusema kweli Mimi binafsi nakumbuka kabisa mwaka wa mwisho Kukumbatiwa hivyo kama ilivyobainishwa hapo juu nadhani ilikuwa ni mwaka 2000.

Sasa nawaza tu mwenyewe ( Am just thinking aloud ) kwamba kumbe inawezekana kabisa GENTAMYCINE tokea mwaka 2001 hadi sasa 2017 Wanawake / Mademu wote niwaowabandua / ninaobaiolojiana nao nafanya tu hiyo work done zero? Kwani sijawahi Kukumbatiwa hivyo kama hao Wataalam wa Mapenzi / Mahaba wanavyosema hapo juu.

Na sijui kwanini na Mimi niliamua kumuhoji hili swali huyu Mtaalam kwani hayo majibu yake sasa yamekuwa ni maumivu na mateso makubwa sana moyoni mwangu ila moyo wangu utatulia pale labda na Wataalam wengine wa JamiiForums watakapoliweka hili sawa. Yaani nawaza kwahiyo kumbe kujipinda Kwangu kote tokea 2001 hadi sasa 2017 nafanya Kazi bure tu / work done zero mbele ya Mbunye?

Nawasilisha.
Mimi wangu nilimkataza maana niliona ni kuuana unabanwa hata kupumua huwezi. Hii inaukweli kiasi lakini ukipiga shughuli utajua tu...
 
At a mm sijawahi kumuacha mtoto Wa watu bila kuridhika maana ni dhambi, kuna mmoja huyo nilimpelekea moto maana goli lake lilikuwa mbali sana back alivyofika dah mtoto akaniambia anataman aukate mkono wangu Wa 3 abaki nao geto kwake ili ajisugulie dah nilicheka sana that day

hhhhhhhaaaaaaaa hongera sana!
 
Tatizo ni kwamba mapenzi yamegeuka biashara.
Aliyelaliwa anawaza atapewa hata mia kweli???;!!!! Unategemea nn?atafeel kwl?
Na alolalia anawaza ten yake alopanga kumpa inamuuma.Hapo ni bora liende tu.
 
Mmmh nijuavyo Mimi mwanaume was kweli lazima ajue ishara ya mpenzi wake kufika kileleni na lzm afanye juu chini kuhakikisha kua anafika otherwise hujui wajibu wako.
 
Sasa Anita unakuta wengine hawasemi ndio maana huyu ndugu yetu kaomba msaada usikute demu wake kamkatalia kumwambia ...lkn na ww hongera kama umemwambia Shemeji
 
Back
Top Bottom