Kama hii ni kweli basi Wanaume wengi tunachekwa sana Vitandani

hivi kama mmefanya style ya mbuzi kagoma kwenda baada ya kufika mshindo anakukumbatiaje?mana kumbatizi huwaga linatokea maranyingi kama mmemaliza style ya kifo cha mende.
hahahahahahahahha una maswali mazuri hadi raha, wasituaminishe uongo hawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Inasemekana kwamba ukiwa unafanya mapenzi / unabaiolojiana na Mwanamke yoyote yule halafu pale unapomaliza mshindo wako / unapiga bao lako la Kichuya au Ajib halafu ukaona Yule Mwanamke hakukumbatii kwa kukubana kwa nguvu kabisa hadi hata unashindwa kupumua vizuri na kutikisa kabisa mwili wako na Fito zako ( miguu ) basi jua ya kwamba hapo 100% hujamfikisha / hujamtosheleza Kimahaba na ulichokifanya Kisayansi wanasema work done zero.Ila ikitokea kinyume chake basi jua kwamba Mwanamume umeshughulika na Mwanamke kafika katika Kilele chake cha Utamu na Raha ya Mkuyenge wako.

Je kuna Wanabaiolojia wenzangu hasa Wanaume wenzangu je hapa kuna ukweli wowtote labda? Hii habari / taarifa nimeipokea kwa mshtuko mkubwa mno hadi nimeshakosa raha kwani kusema kweli Mimi binafsi nakumbuka kabisa mwaka wa mwisho Kukumbatiwa hivyo kama ilivyobainishwa hapo juu nadhani ilikuwa ni mwaka 2000.

Sasa nawaza tu mwenyewe ( Am just thinking aloud ) kwamba kumbe inawezekana kabisa GENTAMYCINE tokea mwaka 2001 hadi sasa 2017 Wanawake / Mademu wote niwaowabandua / ninaobaiolojiana nao nafanya tu hiyo work done zero? Kwani sijawahi Kukumbatiwa hivyo kama hao Wataalam wa Mapenzi / Mahaba wanavyosema hapo juu.

Na sijui kwanini na Mimi niliamua kumuhoji hili swali huyu Mtaalam kwani hayo majibu yake sasa yamekuwa ni maumivu na mateso makubwa sana moyoni mwangu ila moyo wangu utatulia pale labda na Wataalam wengine wa JamiiForums watakapoliweka hili sawa. Yaani nawaza kwahiyo kumbe kujipinda Kwangu kote tokea 2001 hadi sasa 2017 nafanya Kazi bure tu / work done zero mbele ya Mbunye?

Nawasilisha.
hivi unaweza umia kweli eeeeeh, kweli watu tumetofautiana

teh teh
 
Ukimkuta mwanamke anajichua utamhurumia unaweza kuhis k inaweza kung'oka sasa we unajifanya mstaarabu unaingiza kwakupuliza puliza wakati mwenzio anataka kazi kweli kweli bado unafikiri utamkojolesha! Chimbua kabisa akitoka hapo ataanza yeye kukuuliza ratiba inayofata.
 
63e480316690a62fabb81e8180af747c.jpg
 
hivi kama mmefanya style ya mbuzi kagoma kwenda baada ya kufika mshindo anakukumbatiaje?mana kumbatizi huwaga linatokea maranyingi kama mmemaliza style ya kifo cha mende.

Na Mtaalam wangu alinielezea kwa mtindo pendwa na uliozoeleka kwa Kifo cha Mende sasa kama Wewe umezoea kufanya Mbuzi kagoma mtafute na Wewe Mtaalam wako wa Kugoma kwa Mbuzi ili nae atiririke na aserereke vizuri kama huyu wangu wa Cockroach death style.
 
Kama ni mkeo jitahidi kurudisha heshima,maana hilo lina ukweli 98.9% lkn kumbuka pia wapo wale wakufake,hasa wale waliokaa kimaslahi!
 
Hakuna jipya la kufanyia tafuti kwenye kwenye kisumbusi ...piga bao lako moja la kizembe ulale.otherwise labda awe mkeo ndo utakuwa na wasiwasi.
 
Back
Top Bottom