Kama hii ni kweli basi ni baraka

Kama hii ni kweli basi ni baraka

cute b

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
16,847
Reaction score
34,303
Inawezekanajee?
 

Attachments

  • 1433602368962.jpg
    1433602368962.jpg
    89.7 KB · Views: 1,247
Wanasema ni mvua ya samaki
 

Attachments

  • 1433602430846.jpg
    1433602430846.jpg
    108.4 KB · Views: 925
Haya yalikuwa mafuriko baada ya maji kunyonywa na kukauka viumbe hawa wakabaki!
 
Ikitokea bongo sijui kama watu wataenda ata kazini

ukute mshahara wako ukigawanya kwa mwezi kwa siku utakuwa unalipwa 3500/- uende kufanya nini si bora ujizolee kambare hao mmoja 7000
 
huwa inatokea hasa maeneo yalioko pembezoni na bahari na maeneo ambayo yanakumbwa sana na vimbunga mara nyingi huwa vinasomba maji baharini na kwenda nayo hewani hivyo viumbe vilivyo jirani na surface ya maji sio samaki tu hubebwa na kwenda kutupwa eneo ambalo kimbunga kinaisha nguvu.
 
ukute mshahara wako ukigawanya kwa mwezi kwa siku utakuwa unalipwa 3500/- uende kufanya nini si bora ujizolee kambare hao mmoja 7000

utamuuuzia nani kama zitakua all over the place
 
Back
Top Bottom