Kama hii ni kweli basi ni baraka

Kama hii ni kweli basi ni baraka

Hawa bila shaka wako tofauti na wa mh magufuli. Mvua ya samaki si inyeshe tu hata huku kwetu KIANDA IGONDA waganga wapige dili
 
niliwahi ona wamekirusha kipindi hiki clouds tv. nilishangaa sana kuona samaki walivyotokea angani
 
niliwahi ona wamekirusha kipindi hiki clouds tv. nilishangaa sana kuona samaki walivyotokea angani

Nchi zenye neema izo sisi huku kwetu inanyeshaga mvua ya panz wale wanaokataga mahind
 
Ila hawa samaki wana roho ngumu jamani
 

Attachments

  • 1433663411415.jpg
    1433663411415.jpg
    91.5 KB · Views: 145
Back
Top Bottom