Kama Hayati Magufuli angesikiliza makelele ya Lissu

Mwaka 2016 mpaka 2020 Tanzania iligubikwa na makelele ya Tundu Lisu aliyejiona yeye tu ndiyo mwenye haki ya kumshauri Rais wa nchi wa wakati huo na ni lazima ushauri wake ufuatwe!
Hata hivyo hayati Magufuli alisimama imara na kupuuza makelele yote ya wakala wa mabeberu Tundu Lisu.

Kama hayati Rais Magufuli asingekuwa imara na akasikiliza makelele ya Lisu, haya hapa yangetokea Tanzania.

1. Tanzania tusingekuwa na bwawa la kufua umeme ambalo ni moja ya mabwawa makubwa barani Afrika. Urefu wa bwawa la Nyerere ni km100 yani sawa na urefu wa kutoka Dar mpaka Chalinze.
Tundu Lisu kwa kutumiwa na mbabeberu kwa ahadi ya kumlisha yeye na familia yake pamoja na kumpa hifadhi Ubelgiji alipinga sana ujenzi wa bwawa hili kwa kisingizio kwamba litasababisha uharibifu wa mazingira na mvua hazitanyesha tena Tanzania!. Leo mwaka 2023 bwawa linajazwa maji na Tanzania imegubikwa na mafuriko kila sehemu kwani mvua zinanyesha sana kinyume na utabiri wa Tundu Lisu.

2. Tanzania isingekuwa na ujenzi wa SGR .
Tundu Lissu alipinga sana ujenzi wa reli hii ya umeme na yenye kasi zaidi Afrika yote.

3. Serikali isingehamia Dodoma.
Tundu Lisu na Mbowe walipinga sana serikali kuhamia Dodoma wakisema huko ni kutesa watumishi na kwamba serikali ibaki tu Dares salaam kwani ndoto za mwl Nyerere zimepitwa na wakati. Hayati Magufuli aliziba masikio na leo serikali yote ipo Dodoma.

4. Kampuni ya madini ya Acacia ingekuwepo.
Licha ya kwamba Lissu amesoma kwa kodi za watanzania lakini aligeuka kuwa mwanasheria wa Acacia na akasema ataisaidia kutushitaki MIGA ,kama tukiendelea kuwadai hela za wizi wa makinikia. Hayati Magufuli aliendelea mbele hadi kampuni ya Acacia ikafutwa na kuzaliwa kampuni mpya ya Twiga ambayo watanzania wapo kwenye management na Tanzania yakafunguliwa masoko ya madini kila sehemu, na watanzania wakanufaika na madini yao.

5. Kenya na India zingeendelea kuongoza kwenye uuzaji wa madini ya Tanzanite .
Kutokana na ukweli madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania tu. Hayati Magufuli alichukua hatua kali sana za kudhibiti madini ya Tanzanite ikiwemo kujenga ukuta wa kuzunguka mgodi huo, hatua hizo zilipingwa mno na Lisu na akaita ni udikteta mkubwa kufanya hivyo.
Acheni ujinga enyi sukuma gang. Magufuli alikuwa kiongozi mbaya kuwahi kutokea Africa , amefanya maovu mengi na mauaji, hata huyo Lissu na ulemavu wake ni kazi ya JPM. Usimtetee muuaji na wewe unashiriki dhambi yake.
 
Pia uwanja wa ndege wa chato usingeishia kuwa malisho ya mbuzi.
Ndege zisingekufa(ndege 3 zimekufa zipo parking)
Ndege isingekamatwa nje ya nchi kwa madeni ya kipumbavu.
Asingekufa kwa Covid19.
 
Watanzania washajua ni msaliti na watoto wake ni raia wa marekani
Chuki yako kwa Lissu haitaondoa upumbavu na umasikini wako. Umemtukana weee ukamaliza matusi yote mwisho wa siku umeonekana wewe ni mpumbavu ukapigwa ban kwa kumtukana Mh. Lissu mpaka sasa umenyooka,hebu rudia tena yale matusi yako uone.
 
Mwaka 2016 mpaka 2020 Tanzania iligubikwa na makelele ya Tundu Lisu aliyejiona yeye tu ndiyo mwenye haki ya kumshauri Rais wa nchi wa wakati huo na ni lazima ushauri wake ufuatwe!
Hata hivyo hayati Magufuli alisimama imara na kupuuza makelele yote ya wakala wa mabeberu Tundu Lisu.

Kama hayati Rais Magufuli asingekuwa imara na akasikiliza makelele ya Lisu, haya hapa yangetokea Tanzania.

1. Tanzania tusingekuwa na bwawa la kufua umeme ambalo ni moja ya mabwawa makubwa barani Afrika. Urefu wa bwawa la Nyerere ni km100 yani sawa na urefu wa kutoka Dar mpaka Chalinze.
Tundu Lisu kwa kutumiwa na mbabeberu kwa ahadi ya kumlisha yeye na familia yake pamoja na kumpa hifadhi Ubelgiji alipinga sana ujenzi wa bwawa hili kwa kisingizio kwamba litasababisha uharibifu wa mazingira na mvua hazitanyesha tena Tanzania!. Leo mwaka 2023 bwawa linajazwa maji na Tanzania imegubikwa na mafuriko kila sehemu kwani mvua zinanyesha sana kinyume na utabiri wa Tundu Lisu.

2. Tanzania isingekuwa na ujenzi wa SGR .
Tundu Lissu alipinga sana ujenzi wa reli hii ya umeme na yenye kasi zaidi Afrika yote.

3. Serikali isingehamia Dodoma.
Tundu Lisu na Mbowe walipinga sana serikali kuhamia Dodoma wakisema huko ni kutesa watumishi na kwamba serikali ibaki tu Dares salaam kwani ndoto za mwl Nyerere zimepitwa na wakati. Hayati Magufuli aliziba masikio na leo serikali yote ipo Dodoma.

4. Kampuni ya madini ya Acacia ingekuwepo.
Licha ya kwamba Lissu amesoma kwa kodi za watanzania lakini aligeuka kuwa mwanasheria wa Acacia na akasema ataisaidia kutushitaki MIGA ,kama tukiendelea kuwadai hela za wizi wa makinikia. Hayati Magufuli aliendelea mbele hadi kampuni ya Acacia ikafutwa na kuzaliwa kampuni mpya ya Twiga ambayo watanzania wapo kwenye management na Tanzania yakafunguliwa masoko ya madini kila sehemu, na watanzania wakanufaika na madini yao.

5. Kenya na India zingeendelea kuongoza kwenye uuzaji wa madini ya Tanzanite .
Kutokana na ukweli madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania tu. Hayati Magufuli alichukua hatua kali sana za kudhibiti madini ya Tanzanite ikiwemo kujenga ukuta wa kuzunguka mgodi huo, hatua hizo zilipingwa mno na Lisu na akaita ni udikteta mkubwa kufanya hivyo.
We ni mkumbafu kweli;
1. Bwawa lenyewe ni kizungumkuti kila siku tarehe ya kukamilika insogezwa mbele na pia kwenye hali hii ya mabadiliko ya tabia nchi ambopo kuna mvua hazitoshi mara ukame kutegemea maji kuzalisha umeme ni ujuha tengeiendeleze kinyerezi 3 na 4 pale tule umeme wa gesi kwa hela kidogo na umeme wa upepo na solar sio huu ujinga.
2. SGR wakati malori yamejaa na yanafikisha mzigi kwa wakati hiyo treni labda mpande wa kanda ya ziwa solution ilikuwa kujenga njia nne mpaka chalinze na dual carriage Chalinze to Mwanza and Mbeya.
3. Kuhamia Dodoma hukuna faida yeyote ya kiuchumi kwa nchi sana sana gharama za kuendesha serikali zimepanda watu kila siku wako Dar wanakula perdiem na mafuta ya magari wakati kituo cha kazi ni Dodoma Raisi mwenyewe akija magogoni anakuja na timu nzima wate wanakula perdiem na mafuta ya magari ni hasaraaa.
4. Acacia kuondoka hasara ilikuwa yetu maana watanzania zaidi ya 4000 walikosa kazi na sasa karudi kaka yake Barrick so kilichobadilika ni kipi hapo? makinikia kila siku yanaenda ulaya kama zamani.
5. Ukuta haujazuia uwizi wa Tanzanite sana sana umetengeneza wala rushwa wapya na madini yanatoka nje ya nchi kama kawa.
Sasa sijui unakipi cha kutuambia.
 
Amsterdam anakufaidi sana hizi siku za mwisho mwisho hapo ubelgiji
 
Kumbe bwawa lipo ila linasogezwa mbele tu?
Huo wizi wa Tanzanite ndiyo furaha ya Lisu
 
Ujio wa Lissu unawatesa sana nyie Chawa, Mmeshajiona kabisa hamwezi kujibu hoja zake mmeanza kupagawa hata kabla hajatua
 
Mwaka 2016 mpaka 2020 Tanzania iligubikwa na makelele ya Tundu Lisu aliyejiona yeye tu ndiyo mwenye haki ya kumshauri Rais wa nchi wa wakati huo na ni lazima ushauri wake ufuatwe!
Hata hivyo hayati Magufuli alisimama imara na kupuuza makelele yote ya wakala wa mabeberu Tundu Lisu.

Kama hayati Rais Magufuli asingekuwa imara na akasikiliza makelele ya Lisu, haya hapa yangetokea Tanzania.

1. Tanzania tusingekuwa na bwawa la kufua umeme ambalo ni moja ya mabwawa makubwa barani Afrika. Urefu wa bwawa la Nyerere ni km100 yani sawa na urefu wa kutoka Dar mpaka Chalinze.
Tundu Lisu kwa kutumiwa na mbabeberu kwa ahadi ya kumlisha yeye na familia yake pamoja na kumpa hifadhi Ubelgiji alipinga sana ujenzi wa bwawa hili kwa kisingizio kwamba litasababisha uharibifu wa mazingira na mvua hazitanyesha tena Tanzania!. Leo mwaka 2023 bwawa linajazwa maji na Tanzania imegubikwa na mafuriko kila sehemu kwani mvua zinanyesha sana kinyume na utabiri wa Tundu Lisu.

2. Tanzania isingekuwa na ujenzi wa SGR .
Tundu Lissu alipinga sana ujenzi wa reli hii ya umeme na yenye kasi zaidi Afrika yote.

3. Serikali isingehamia Dodoma.
Tundu Lisu na Mbowe walipinga sana serikali kuhamia Dodoma wakisema huko ni kutesa watumishi na kwamba serikali ibaki tu Dares salaam kwani ndoto za mwl Nyerere zimepitwa na wakati. Hayati Magufuli aliziba masikio na leo serikali yote ipo Dodoma.

4. Kampuni ya madini ya Acacia ingekuwepo.
Licha ya kwamba Lissu amesoma kwa kodi za watanzania lakini aligeuka kuwa mwanasheria wa Acacia na akasema ataisaidia kutushitaki MIGA ,kama tukiendelea kuwadai hela za wizi wa makinikia. Hayati Magufuli aliendelea mbele hadi kampuni ya Acacia ikafutwa na kuzaliwa kampuni mpya ya Twiga ambayo watanzania wapo kwenye management na Tanzania yakafunguliwa masoko ya madini kila sehemu, na watanzania wakanufaika na madini yao.

5. Kenya na India zingeendelea kuongoza kwenye uuzaji wa madini ya Tanzanite .
Kutokana na ukweli madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania tu. Hayati Magufuli alichukua hatua kali sana za kudhibiti madini ya Tanzanite ikiwemo kujenga ukuta wa kuzunguka mgodi huo, hatua hizo zilipingwa mno na Lisu na akaita ni udikteta mkubwa kufanya hivyo.
kamfufue uzikwe wewe jinga jinga wewe. kutwa kucha lisu lisu. si umtaje hata baba yako kidogo?
 
Una akili mbovu sana. Mlo utotoni ilikuwa tabu
Wewe ndio tahira na huyo lissu wako msiojielewa.lissu hawezi kuja kuwa rais katika hii nchi kamwe labda awe rais ya familia yako na ukoo wenu wa wajinga.
 
Hebu tufuatilie historia ya Ubelgiji kwa mambo waliyofanya katika nchi za Africa ndio utajua Lisu ni mtu wa ainagani,na kwanini amechagua kwenda Ubelgiji.

Tuanze na Congo ya Patric Lumumba, Rwanda, Sieralioni NK, then tutaona Lisu nimtu wa kuogopwa kiasigani.
Mkuu sisi waafrica ni watu wajinga sana alafu kuna majitu yanamuona lisu ni mtu wa maana sana yule sio mzalendo hata kidogo ni msaliti namba moja.ila humu kuna wajinga wachache wanamuhusudu
 
Inakera sana
 
Mwaka 2016 mpaka 2020 Tanzania iligubikwa na makelele ya Tundu Lisu aliyejiona yeye tu ndiyo mwenye haki ya kumshauri Rais wa nchi wa wakati huo na ni lazima ushauri wake ufuatwe!
Hata hivyo hayati Magufuli alisimama imara na kupuuza makelele yote ya wakala wa mabeberu Tundu Lisu.

Kama hayati Rais Magufuli asingekuwa imara na akasikiliza makelele ya Lisu, haya hapa yangetokea Tanzania.

1. Tanzania tusingekuwa na bwawa la kufua umeme ambalo ni moja ya mabwawa makubwa barani Afrika. Urefu wa bwawa la Nyerere ni km100 yani sawa na urefu wa kutoka Dar mpaka Chalinze.
Tundu Lisu kwa kutumiwa na mbabeberu kwa ahadi ya kumlisha yeye na familia yake pamoja na kumpa hifadhi Ubelgiji alipinga sana ujenzi wa bwawa hili kwa kisingizio kwamba litasababisha uharibifu wa mazingira na mvua hazitanyesha tena Tanzania!. Leo mwaka 2023 bwawa linajazwa maji na Tanzania imegubikwa na mafuriko kila sehemu kwani mvua zinanyesha sana kinyume na utabiri wa Tundu Lisu.

2. Tanzania isingekuwa na ujenzi wa SGR .
Tundu Lissu alipinga sana ujenzi wa reli hii ya umeme na yenye kasi zaidi Afrika yote.

3. Serikali isingehamia Dodoma.
Tundu Lisu na Mbowe walipinga sana serikali kuhamia Dodoma wakisema huko ni kutesa watumishi na kwamba serikali ibaki tu Dares salaam kwani ndoto za mwl Nyerere zimepitwa na wakati. Hayati Magufuli aliziba masikio na leo serikali yote ipo Dodoma.

4. Kampuni ya madini ya Acacia ingekuwepo.
Licha ya kwamba Lissu amesoma kwa kodi za watanzania lakini aligeuka kuwa mwanasheria wa Acacia na akasema ataisaidia kutushitaki MIGA ,kama tukiendelea kuwadai hela za wizi wa makinikia. Hayati Magufuli aliendelea mbele hadi kampuni ya Acacia ikafutwa na kuzaliwa kampuni mpya ya Twiga ambayo watanzania wapo kwenye management na Tanzania yakafunguliwa masoko ya madini kila sehemu, na watanzania wakanufaika na madini yao.

5. Kenya na India zingeendelea kuongoza kwenye uuzaji wa madini ya Tanzanite .
Kutokana na ukweli madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania tu. Hayati Magufuli alichukua hatua kali sana za kudhibiti madini ya Tanzanite ikiwemo kujenga ukuta wa kuzunguka mgodi huo, hatua hizo zilipingwa mno na Lisu na akaita ni udikteta mkubwa kufanya hivyo.
Lisu wa Miga ? Yuko vizuri sana huyu jamaa
 
Lisu huwa ata hana point anaongea kma yuko kwenye debait za secondary ata wanoomba kura za kuwa viranja mashuleni wanamzidi point wanapojinadi
 
Moyoni Lissu anampongeza sana JPM kwa kazi nzuri aliyofanya kwa mda mfupi. Alifanikiwa kuondoa ule upuuzi wote wa blaaablaaa kazini , hapo Lissu alifurahi.
 
Back
Top Bottom