Kama Hayati Magufuli angesikiliza makelele ya Lissu

Kama Hayati Magufuli angesikiliza makelele ya Lissu

Lissu ni mpinga maendeleo ya hii nchi yule ni wakala wa mabeberu ndio maana wanamlinda mtu wao .yeye kila kitu kizuri anapinga yaani nilishangaa anawasaidia acacia kuistaki nchi yake na kupinga utanuzi wa barabara ya kibaha pamoja na flyover eti za nini hizo yule jamaa ni mtu mbaya sana katika hili taifa
 
Mbaya zaidi ni pale pia kelele zake zimnyima mwemdazake usingizi akaamua kumuua jambo ambalo baada ya kutofanikiwa lilimuacha mwemdazake katika hali mbaya zaidi.
 
Back
Top Bottom