Kama Hauna Kadi ya kupiga Kura wewe sio Rafiki Yangu:

Standalone

JF-Expert Member
Nov 15, 2014
676
576
Huu ni mwaka Muhimu sana kwa Watanzania hasa Vijana…October 2015 tutafanya Uchaguzi Mkuu…

Sifa ya kupiga kura ni kuwa Kujiandikisha na Kupata kadi ili tuweze kuwaondoa hawa mafisadi, wala Rushwa, Wahujumu Amani Wa CCM Madarakani..

Nawaomba Watu wote tujiandikishwe kwenye daftari la kudumu ili tuwe na sifa ya kupiga kura ifikapo wakati wa uchaguzi mkuu. Kama hautajiandikisha na kuwa na kadi ya kupiga kura wewe sio Rafiki wala mwenzangu.

#Lazimakujiandikishakupigakura
 
Naweza kuwa si rafiki yako kwa sasa lakini Pindi fursa ya kujiandikisha ikifika nitakuwa Rafiki yako... Mara zote nimejikuta nikiwa nje ya nchi wakati wa zoezi la kujiandikisha na kupiga kura ... Tume ya Uchaguzi inapaswa kuweka utaratibu ambao utakuwa rahisi kwa mwananchi kupiga kura popote pale walipo... Watumishi wengi sana wa Serikali na Wanafunzi wamekuwa wakishindwa kupiga kura kwakuwa wako safarini na wengine kuwa mbali na maeneo waliojiandikishia...
Huu ni mwaka Muhimu sana kwa Watanzania hasa Vijana…October 2015 tutafanya Uchaguzi Mkuu…

Sifa ya kupiga kura ni kuwa Kujiandikisha na Kupata kadi ili tuweze kuwaondoa hawa mafisadi, wala Rushwa, Wahujumu Amani Wa CCM Madarakani..

Nawaomba Watu wote tujiandikishwe kwenye daftari la kudumu ili tuwe na sifa ya kupiga kura ifikapo wakati wa uchaguzi mkuu. Kama hautajiandikisha na kuwa na kadi ya kupiga kura wewe sio mchizi Wangu..

#Lazimakujiandikishakupigakura
 
Naweza kuwa si rafiki yako kwa sasa lakini Pindi fursa ya kujiandikisha ikifika nitakuwa Rafiki yako... Mara zote nimejikuta nikiwa nje ya nchi wakati wa zoezi la kujiandikisha na kupiga kura ... Tume ya Uchaguzi inapaswa kuweka utaratibu ambao utakuwa rahisi kwa mwananchi kupiga kura popote pale walipo... Watumishi wengi sana wa Serikali na Wanafunzi wamekuwa wakishindwa kupiga kura kwakuwa wako safarini na wengine kuwa mbali na maeneo waliojiandikishia...

Lengo Ni kuhamasisha Watu kujiandikisha Kupiga Kura Mkuu wangu...Nakuomba Tuungane Mkono Katika Hili...
 
Nakuunga mkono Standalone.Ni aibu kwa kijana wa leo kutakujiandikisha kupiga kura
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli hata Mi binafsi naungana na mleta dau kama hautajiandikisha hakika wewe siyo rafiki yangu!!!!
 
Safi sana tujiandikishe kupiga kura Tuchague ukawa na tulinde kura zetu... wakichakachua safari hii watajua kilichomtoa kanga manyoa
 
Safi sana. Huu ujumbe umguse kila mtanzania mpenda mabadiliko ya kuwaondoa manyang'au na mafisadi wa nchi yetu
 
Kutokuwa na kadi ya kupiga kura ni sawa na mwanaume baunsa shoga,misuli minene haina kazi.

Ha ha haaaaaa! Duh ngoja nikajiandikishe maana hizi sifa za huyu 'baunsa' ntaziondoa nikijiandikisha na kuwa na KADI YA MPIGA KURA
 
Vijana wajitambue mabadiliko popote yanaketwa na vijana nenda kajiandikishe
 
naomba mnisaidie mimi, nilijiandikisha mwaka 2005 nikiwa kigoma kwa bahat mbaya siku ya kupiga kura sikuwepo na mpaka sasa nishapoteza kadi yang hapo inakuwaje? siku ya kujiandisha si nikienda kujiandikisha watanitosa sabab nishjiandikisha pia nishahama mkoa inakuwaje?
 
nina kadi toka 2005 na sijawahi kuacha kupiga kura
ila 2005 nilimpa profesa baada ya hapo sijawahi kupiga tofauti na chadema
 
Ni kweli aisee,
Mabadiliko yanaletwa na sisi wote, utakua ni ufala kuhubiri mabadiliko wakati Binafsi huna kadi ya kupigia kura!!
 
nipO pamojA nA mletA madA.kwanI mabadilikO yanaanzA nA kuwA nA hyO kadI then mambO mengnE yanafuatA kamA vlE kutowarudishA mafsadI wotE wasiolitakiA memA taifA hilI pale mjengonI
 
naomba mnisaidie mimi, nilijiandikisha mwaka 2005 nikiwa kigoma kwa bahat mbaya siku ya kupiga kura sikuwepo na mpaka sasa nishapoteza kadi yang hapo inakuwaje? siku ya kujiandisha si nikienda kujiandikisha watanitosa sabab nishjiandikisha pia nishahama mkoa inakuwaje?

Mkuu Sasa Tuanajiandikisha Upya.....Kila Mtu so Jiandae ikifika Eneo Ulilopo tufanye hivyo....

Asante kamanda.
 
Back
Top Bottom