Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
3laynaa wa3layk[emoji4]Alafu nilikuwa sijaona ID yako Aslaem alyeikum
3laynaa wa3layk[emoji4]Alafu nilikuwa sijaona ID yako Aslaem alyeikum
[emoji187] [emoji187] [emoji187] [emoji187] [emoji176]Heheheh[emoji1][emoji1]
safiSiku ingine kabla hajaja umwambie kabisa kuwa umemuita ili umgegede.....ukifanya hivyo hutatuletea tena thread za la sita B!
Mmmmmmh uwe unaswaki kabla haujaanza kuandika thread, kwahiyo tukusaidieje? Ameitika wito kakataa neno, ulijua dampo hilo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] limekuganda hilo LA sita bWakuu mambo vipi poleni na mizunguko
Katika harakati zangu ndani ya mwezi huu nimekutana na hili jambo
Hivi hii inakaaje na kwa nini yaani?
Demu unajua kabisa jamaa humkubali then anakuita magetoni unaenda tena asubuhi, ukifika sasa,
Unafikia kwenye kiti (kama kipo) au hata kitandani,
Unaanza kuangalia tv, hutaki kuchemsha chai, kupika wala kufanya kitu chochote,
Mwanaume akipika ukikukaribisha unakuja kula bila hata ya aibu na vyombo hutoi,
Unajifanya uko busy na movie au simu tangu ufike hapo geto
Ukiguswa sasa hapo ndipo penye shida, unapiga kelele mpaka majirani nyumba ya pili wanasikia yaani unatamka neno (sitaki/niache) kwa sauti ya kipaza saut
Hapo hauondoki mpaka series uliyokuwa unaangalia iishe,
Umeme ukikatika unaamia kwenye simu unajifanya busy mno,
Unakaa tangu umefika na miguo yako hata kama kuna joto
Ukiombwa game unasema tuwe marafiki tu, na unamchukulia kama kaka yako, (dada tunao)
Then bado unamwambia hauna feeling na yy za mapenz hivyo muwe ivyo tu
Bado ukitaka kuondoka bila hata ya aibu unaomba nauli [emoji15] [emoji15]
Tukiwaondoa kwa kuwafukuza mnaanza kulialia na kuwaon wanaume wabaya
Ukweli mnaboa sana japo kuwa sisi wanaume ni watu ambao wagumu kueleza feeling zetu na mioyo yetu inafukuta machukizo kwa mambo kama haya
Note
Mambo haya nimeyashuhudia wanayafanya adult women
Umepotea mrembo...naniliu ndio kakuficha hivyo?safi
haha nope,majukumu tu...mekumiss ati..Umepotea mrembo...naniliu ndio kakuficha hivyo?
Safi sana, timiza majukumu.haha nope,majukumu tu...mekumiss ati..
Haizuiliki hilo mkuuMmm, makufuli pamoja na kukaza lakini watu bado mnaitana magetoni kuchambuana kama karanga🙁🙁
Sawa hivi hujawai kufanyiwa hivi na mahondow
😀Haizuiliki hilo mkuu
We nawe kuswaki natread vinauhusiano ganiMmmmmmh uwe unaswaki kabla haujaanza kuandika thread, kwahiyo tukusaidieje? Ameitika wito kakataa neno, ulijua dampo hilo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] limekuganda hilo LA sita b
Hayo maneno yako mdomo mzito ungeswaki tuWe nawe kuswaki natread vinauhusiano gani
Unavyomuita mueleze kabisa lengo lako itakusaidia. Aje aoshe vyombo au kupika kwan mkeo? Pili aondoeje vyombo wakati ni mgeni jaman? Tatizo hamuwi wawazi. Nashaur next time mwambie kabisa ulichomuitia
Jinsia yako tafadhali nijue jins ya kukujibuHayo maneno yako mdomo mzito ungeswaki tu