sos10ess
Member
- Oct 16, 2015
- 13
- 15
Kila ukikatiza mitaa mbalimbali nchini Morocco utakuta mabango, matangazo mbalimbali, binafsi au ya serikali, majina ya mitaa, kila kitu kimeandikwa kwa lugha mama ya kiarabu kisha kwa maandishi madogo yametagsiriwa kwa kiingereza. Na tunafahamu kwamba Morocco ndio inaongoza kwa utalii nchini Afrika na ata duniani ipo kwenye Rank nzuri kabisa.
Kwa upande wa Tanzania, ambapo zaidi ya robo ya population hatujui kiingereza chenyewe, je, ni nini sababu ya msingi kuweka kingereza kama kipaumbele kwenye matangazo ya ofisi za serikali, Binafsi, mabango n.k, kwa nini tusiweke kiswahili kama main kisha tafsiri kwa maandishi kidogo kwa kingereza? 🫵🏽?