Kama hali yenyewe ndiyo hii, basi ni haki yetu kupewa mauno feni yasiyo na kifani kitandani

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Na hii nayo ikatumike kama kigezo cha mke mwema mwenye faida katika familia. Usioe gogo, narudia tena, magogo yote yatumike kuchochelea shisha kwenye ma-godown

Mimi ni mtumishi wa boss katika kijikampuni kimojawapo hapa Dar cha kuchakata msosi kwa ajili ya kundi kubwa la wananchi wakiwemo wakinamama na watoto. Ukinikuta kwenye kampuni ile huwezi nidhania, maake ni mimi na peni, peni na mimi. Wizi wote ninaufanya kwa kutumia peni. Hivyo pesa ya kunywea hainikosi kwa mfuko wa shati, hivi vijisenti vya kupandia tundege twa Emirates hatunikosi kwa muamala

Mwezi huu wa pili lilitokea anguko kubwa la kiuchumi pale ofisini pasi na kujua pesa za mafao/ faida zimekwenda wapi. Basi bhana, ndipo boss kutucheleweshea mishahala yetu huku akiambatanisha ahadi lukuki za hapa na pale bila kusahau majukumu ya usafi wa ofisi na utafunaji karanga za wafanyakazi aliyokuwa akiyafanya pamoja nasi pasi na aibu

Baada ya kuona kuwa nazidi kuzorota sana kiuchumi ilinibidi nihamie upande mwingine yaani kwenye physical jobs. Nilijihami vya kutosha kuwa nguvu ninazo za kushanta kutokana na uwezo wangu wa kuchakata mbususu zaidi ya masaa nane niliokilimiwa. Alooo, kumbe nguvu za kiume sio sawa na nguvu za uanaume

Tarehe 12 Januari nikaamua kuivaa kazi ya kushusha magunia ya nafaka aina ya mahindi kwenye soko fulani hapa DSM. Baada ya kuona vimbau mbau wawili wakiyapiga yale magunia tax bega nikajua mimi na misuli yangu nitafanikisha jambo hili kwa muda mfupi

Nashindwa kuelezea ilikuwa vipi, ila ninachokumbuka ni gunia la kilo 147 lilitua kwenye maungio ya kichwa na mgongo baada ya hapo nilijikuta naelea angani kwenye nyota nyota za kila aina kisha nikasikia mlio wa sayari Puuuu! Baada ya kigiza kile kuisha nilijikuta nimezungukwa na wananchi huku mkulima akidai fidia ya gunia lake la mahindi kumomonyokea kwa mfereji wa maji taka. Ilibidi niweke simu yangu lehani

Nilirudi nyumbani nikiwa nimechoka sana. Baada ya tafakuri nzito nikagundua kuwa hakuna usawa kwenye suala zima la maisha kati ya mwanamke na mwanaume

Ili kufidia haya yote, ilimbidi mwanamke kupinduka mauno ya kila aina ili kumpoza mwanaume dhidi ya safari nzito ya mchoko ya siku nzima. Nakumbuka siku hiyo nilimchakata mke mdogo nikiwa nimemfunga khanga shingoni mithili ya farasi kuashiria aongeze spidi ya mauno i.e yawe feni pale tu nitakapoivuta khanga hiyo kwa nguvu huku nikipiga mirudhi

Haikupaswa kabisa mwanamke kuanza kulilia kuridhishwa pasi na kufikiri taabu tunazozipata huko duniani kabla ya kurudi nyumbani jioni tukiwa tumening'iniza tumfuko

Kwa hali hii wanawake mnabidi kushika usukani kwenye tendo la ndoa. Tunachoka sana, sema ni kwa vile tunahofia kuchapiwa. Yaani pesa itochoshe na ninyi mtake kutuchosha

Tarehe 16 nilirejea kazini kwangu na kupokelewa kwa heshima kubwa huku nikiwa na bandage kwa shingo

Karibuni hapa "Sea breeze" tuumwagilie moyo" wakuu
 
Back
Top Bottom