Jamani hizi picha si za kuunganishwa kweli. Mbona kila picha mtu kakunja mikono.
Nna wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri,chadema si wepesi kama unavyofikiria mkuu.....Siasa chafu zinatumika kiumchafua Mh Zito ,wanaomchafua hawako mbali ni wanachadema wenzake wakiongozwa na mbaya wake mkubwa ndani ya chadema lengo kufifisha nyota ya Mh Zito na kumtoa kwenye njia ya kugombea uraisi kiukweli si vizuri ata kidogo Mh Zito usilifumbie macho suala hili litolee maelezo na uwataje hadharani watiu wanaokuchafua najua unawajua kuna kipindi ulipokuwa Inda kwenye matibabu ulishawahi kushutumu jinsi wabaya wako wanavyotumia gazeti la Tanzania Daima na Mwana Halisi kilkuichafua leo wamekuja na shtaili nyingine bado wanaendelelea kukuchafua ili kukudhohofisha kisiasa sisi wananchi tunajua kwa kuwa tunafuatilia habari zako lkila kukicha imefika atiua wanawatumia vijana njaa ndani ya chadema kuingia mitandaoni kukusema vibaya kwa jamii tafagdhari Mh Zito usifanye mzaha katika hili chukua hatua madhubuti ili kulinda heshima yako kwa sasa wanakushambulia sana eti kwa kuwa umesema una nia ya kugombea uraisi kwa kuwa wrwe si mchaga wala mkristo wamepania kwa dhati kabisa kukwamisha ndoto zako tena uwe makini wanaweza kukuua kama walivyofanya kwa Chacha Wangwe! Kuna vijana wako humu mitandaoni wala si wengi ni wachache sana ila wamejisajili kwa IDs tofauti tofauti wanapewa Posho kwa ajili ya kukuchafua kweli kweli kuwa makini katika hili na chukua hatua madhubuti!
Zitto ni Msaliti enyi wadanganyika kuweni makini nae Tunaomfahamu kwa karibu huyu jamaa ni wa kuogopa kama ukoma
Nna wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri,chadema si wepesi kama unavyofikiria mkuu.....
Bila shaka wewe ni mmojawapo katika wale vijana wanaopewa posho kumchafua Mh Zitto kaeni mkijua mtazunguka uku na kule hamtafanikiwa kama hipo hipo tu hakuna wa kuzuia!
Siasa chafu zinatumika kiumchafua Mh Zito ,wanaomchafua hawako mbali ni wanachadema wenzake wakiongozwa na mbaya wake mkubwa ndani ya chadema lengo kufifisha nyota ya Mh Zito na kumtoa kwenye njia ya kugombea uraisi kiukweli si vizuri ata kidogo Mh Zito usilifumbie macho suala hili litolee maelezo na uwataje hadharani watiu wanaokuchafua najua unawajua kuna kipindi ulipokuwa Inda kwenye matibabu ulishawahi kushutumu jinsi wabaya wako wanavyotumia gazeti la Tanzania Daima na Mwana Halisi kilkuichafua leo wamekuja na shtaili nyingine bado wanaendelelea kukuchafua ili kukudhohofisha kisiasa sisi wananchi tunajua kwa kuwa tunafuatilia habari zako lkila kukicha imefika atiua wanawatumia vijana njaa ndani ya chadema kuingia mitandaoni kukusema vibaya kwa jamii tafagdhari Mh Zito usifanye mzaha katika hili chukua hatua madhubuti ili kulinda heshima yako kwa sasa wanakushambulia sana eti kwa kuwa umesema una nia ya kugombea uraisi kwa kuwa wrwe si mchaga wala mkristo wamepania kwa dhati kabisa kukwamisha ndoto zako tena uwe makini wanaweza kukuua kama walivyofanya kwa Chacha Wangwe! Kuna vijana wako humu mitandaoni wala si wengi ni wachache sana ila wamejisajili kwa IDs tofauti tofauti wanapewa Posho kwa ajili ya kukuchafua kweli kweli kuwa makini katika hili na chukua hatua madhubuti!
Haya ndio mawazo ya kujinga kuyafikiri kwa Mtanzania mzalendo.. Tangu lini hiki kikawa kigezo cha kumpata Rais wa Tanzania.. Mkuu nafikiri umepitiwa siyo wew..Hakuna nafasi kwa Mwislam kuwa rais 2015.
Bila shaka wewe ni mmojawapo katika wale vijana wanaopewa posho kumchafua Mh Zitto kaeni mkijua mtazunguka uku na kule hamtafanikiwa kama hipo hipo tu hakuna wa kuzuia!