Naweza kumsaidia
Nilinunua kiwanja eneo lenye mchanga, hivyo.
1. tofali nilifyatulisha ambapo wastani wa 25,000-30,000 ilinipa tofali 35-45 kwa mchanguo huu.
18,000 cement na usafirishaji
5,000 fundi
2,000 kuchimba mchanga per kiloba cha cement
3,000 maji
15,000 machine ya kufyatulia na vibao
Kwa kuwa mashine na maji vinaingia kwa kila mfuko ni ngumu kujua kila tofali imekula bei gani.
ZIADA:ningenunua tofali ilikuwa inanicost 1,000-1,500
Kwa hiyo nimeokoa wastani wa 10,000 kwa kila nilivyokuwa nafyatua tofali.
2. Kusimamisha boma nilichimba sehemu ya kiwanja kwa hiyo sikununua.
3. Shimo la choo nilipotoa mchanga wa kujengea na kufyatulisha tofali ndio hapo likawa shimo la choo.