hata nje mshahara ni siri yako ...wachache sana wanasema labda wakiwa maceleb au nyadhifa za serikaliTanzania ni nchi pekee ambayo mshahara ni siri ya mtu
Kwani kuna nchi gani ambayo mshahara sio siri ya mtu?Tanzania ni nchi pekee ambayo mshahara ni siri ya mtu
kama UK.. mshahara wa Aubameyang hakuna hata ambao haujuiKwani kuna nchi gani ambayo mshahara sio siri ya mtu?
Hata wa ozil Kila mtu anajuakama UK.. mshahara wa Aubameyang hakuna hata ambao haujui
sasa je, ni TZ pekee ambayo mshahara wa striker matata kama Okwi, Bocco, Chirwa, Ajibu ni siri na hata wakitaja si kweliHata wa ozil Kila mtu anajua
Kama hata umri wanafcha mshaharasasa je, ni TZ pekee ambayo mshahara wa striker matata kama Okwi, Bocco, Chirwa, Ajibu ni siri na hata wakitaja si kweli
Nje mshahara siyo siri. Huwa wanaianika kwenye website hata kama mtu siyo celeb.hata nje mshahara ni siri yako ...wachache sana wanasema labda wakiwa maceleb au nyadhifa za serikali
Your English words are pathetic my friend!bongo sidhani kama kuna air hodtese wanaolipwa zaidi ya dolla 1000 or 800. thats the hihgest
no kwa nje tangazo la ajira linasema kwa mwaka ni kiasi gani, unaomba kazi ukiwa unajua ni sh ngapihata nje mshahara ni siri yako ...wachache sana wanasema labda wakiwa maceleb au nyadhifa za serikali
Na ni nchi pekee duniani,mtu ana mshahara mdogo lkn haachi kazi na anajenga+kununua usafiri+kula bataTanzania ni nchi pekee ambayo mshahara ni siri ya mtu
Unaujua mshahara wa mavironpos yule beki mpya arsenal?..kama UK.. mshahara wa Aubameyang hakuna hata ambao haujui
aaaah mkuu mi si mshabiki wa Arse8 hapo ndo shida sasaUnaujua mshahara wa mavironpos yule beki mpya arsenal?..
Namsubiria arudi kukujibu!Unaujua mshahara wa mavironpos yule beki mpya arsenal?..
Kiherehere gani kikakufanya umtolee mfano Aubameyang wakati kuna wachezaji wengi EPL!?..aaaah mkuu mi si mshabiki wa Arse8 hapo ndo shida sasa