Kama Emirates wanalipwa hivi, hapa bongo wanalipwaje?

ILA HAWA MACABIN CREW NI WAREMBO ASEH, KWANZA MAISHA YAO NI KWENYE NDEGE, HOTELINI, NYUMBANI HAKAI SANA.. MUDA WOTE ANANAWIRI.. NITAKUJA KUOMBA NAMBA, JAPO MARA MOJA.
 
Nje mshahara siyo siri. Huwa wanaianika kwenye website hata kama mtu siyo celeb.
bro nje sehemu gani maana nimeishi nchi a ulaya kama 10... nikupe kituko.. nilikaaa birmingham na wafanyakazi wa serikali wanawake wote walikuwa wanalipwa kiasi kidogo kuliko wanaume. wakaja gundua miaka ya 2015 wakagoma wakadai iongezwe wakati imekuwa hivyo miaka takriban 70.. ndo wakawekwa mishahara sawa leo hii. google that. leo wewe uko hapa unasema mishahara ya nje iko kwenye website... hahaha andika basi io website hapa
 
Kama sio siri wekeni salary slip zenu hapa. Tuone mishahara yenu. Msiwe na tamaa ya kujua ya wenzenu huku yenu mmeficha
 
bro nje sehemu gani maana nimeishi nchi a ulaya kama 10... nikupe kituko.. nilikaaa birmingham na wafanyakazi wa serikali wanawake wote walikuwa wanalipwa kiasi kidogo kuliko wanaume. wakaja gundua miaka ya 2015 wakagoma wakadai iongezwe wakati imekuwa hivyo miaka takriban 70.. ndo wakawekwa mishahara sawa leo hii. google that. leo wewe uko hapa unasema mishahara ya nje iko kwenye website... hahaha andika basi io website hapa
Kuna mtu namjua nilimsearch kwenye internet kujua tu ishu zake na publication zake nikashangaa hadi mshahara ukaja. Si unaonaga hata mishahara ya wachezaji ulaya ipo wazi lakini bongo ni siri.
 
ulaya sina uhakika... lakini USA kila mshahara upo wazi... online... m search mtu yeyote usa uangalie mshahara wake

bro nje sehemu gani maana nimeishi nchi a ulaya kama 10... nikupe kituko.. nilikaaa birmingham na wafanyakazi wa serikali wanawake wote walikuwa wanalipwa kiasi kidogo kuliko wanaume. wakaja gundua miaka ya 2015 wakagoma wakadai iongezwe wakati imekuwa hivyo miaka takriban 70.. ndo wakawekwa mishahara sawa leo hii. google that. leo wewe uko hapa unasema mishahara ya nje iko kwenye website... hahaha andika basi io website hapa
 
bro nje sehemu gani maana nimeishi nchi a ulaya kama 10... nikupe kituko.. nilikaaa birmingham na wafanyakazi wa serikali wanawake wote walikuwa wanalipwa kiasi kidogo kuliko wanaume. wakaja gundua miaka ya 2015 wakagoma wakadai iongezwe wakati imekuwa hivyo miaka takriban 70.. ndo wakawekwa mishahara sawa leo hii. google that. leo wewe uko hapa unasema mishahara ya nje iko kwenye website... hahaha andika basi io website hapa
Vp watoto wa kitasha hajachukua mkuu ? They dont black bamboo ? Lakini birmingham wahindi pia wako wengi
 
Mishahara Tanzania sio siri sema kama uko out of that domain ni ngumu kujua mbona hata nafasi za Ajira zikitangazwa wanawekaga scale ya mishahara
 
ahsante. nipe hela nkasome chuo niwe naongeza pathetic kama wewe
Nenda kwa Ras Simba huwa anatoa punguzo na anakwambia hata kama una kichwa kigumu kwao utaelewa tu!
 
hata nje mshahara ni siri yako ...wachache sana wanasema labda wakiwa maceleb au nyadhifa za serikali
Nchi hii tumeuzwa bila kujua toka miaka hiyo,ukitaka kujua nenda nchi yoyote utajiongeza mwenyewe.
 
Kiherehere gani kikakufanya umtolee mfano Aubameyang wakati kuna wachezaji wengi EPL!?..
Turudi kwenye mada mshahara wa mtu ni siri yake!..
siri ya ninii, ninii faida yakeee x 2
siriiiiiiii ooooh siri ya salariiiii haaa haaaa wimbo wa zaman sana huo
 
Back
Top Bottom