Kama dini yako haikusaidii kuwa na tabia hizi, achana nayo, usipoteze muda

Nahonyo

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
3,982
2,000
zitafakarini njia zenu....

Mnashinda Nyumba za ibada siku zote ila maisha yenu hayaonyeshi mabadiriko na hali zenu za maisha zimejaa balaa na mikosi

Wito wangu # Yesu bado anaokoa
Anayo nguvu ya kubadiri moyo na matendo
Hivi hivi karibuni umesikia, kisa cha mapadri, wa kanisa Katoriki na tuhuma za Ulawiti?
 
Prince Luanda

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
1,026
2,000
zitafakarini njia zenu....

Mnashinda Nyumba za ibada siku zote ila maisha yenu hayaonyeshi mabadiriko na hali zenu za maisha zimejaa balaa na mikosi

Wito wangu # Yesu bado anaokoa
Anayo nguvu ya kubadiri moyo na matendo
"Mabadiriko" wasauzi soon watatupita katika hii lugha
 
mtanganyika wa kweli

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
2,430
2,000
J'pili njema JF

Direct to the point

Kama dini yako haikusaidii

1: Kuwa mtakatifu

2: Kuwa mwenye upendo kwa watu wote

3: Kuwa mvumilivu na mwenye subira

4: Kuwa mwenye heshima na maadili

5: Kuwa mwenye hekima na busara

6: kuwa mwenye bidii katika kufanya kazi

Please .....
# Achana nayo, unajipotezea muda tu!!!

Yesu bado anaokoa
Hizo point 2 za mwanzo ni mfu
1.huwezi kuwa mtakatifu huku bado unaishi

2.Huwez kuwa na upendo kwa watu wote-Realism Theory inakaa
#Mpende anayekupenda.
 
Nahonyo

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
3,982
2,000
Ndo hayo niliyoandika
Kama imani ya dini yako haijakusaidia... Don't waste your time
Hapo Suluhu Sio kubadili Dini, bali ni kuwa mcha Mungu wa kweli. Sababu kwa Imani wanamwamini Yesu, ila ni waovu kupitiliza.

Majambazi, Wezi, Wabaguzi, Wanunua ngono na wauza ngono ni wa imani zote.

Mbaya zaidi wapo wanafanya maovu kwa kujifichia Dini.
Chamsingi kwanza Mtu mwenyewe aamue, kuacha yote mabaya, ndipo atamfuata huyo Yesu na Wengine, ila kama mtu hajaamua, hata Yesu amjie mlangoni kwake hamna kitu.
 
doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,311
2,000
Hizo point 2 za mwanzo ni mfu
1.huwezi kuwa mtakatifu huku bado unaishi

2.Huwez kuwa na upendo kwa watu wote-Realism Theory inakaa
#Mpende anayekupenda.
Okay
Ila ukiwa na high standards za utauwa na upendo at least utakufanya uishi maisha ya upendo wa kati na utauwa
 
omarion5

JF-Expert Member
Oct 14, 2017
5,211
2,000
zitafakarini njia zenu....

Mnashinda Nyumba za ibada siku zote ila maisha yenu hayaonyeshi mabadiriko na hali zenu za maisha zimejaa balaa na mikosi

Wito wangu # Yesu bado anaokoa
Anayo nguvu ya kubadiri moyo na matendo
Sawa
 
doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,311
2,000
Hapo Suluhu Sio kubadili Dini, bali ni kuwa mcha Mungu wa kweli. Sababu kwa Imani wanamwamini Yesu, ila ni waovu kupitiliza.

Majambazi, Wezi, Wabaguzi, Wanunua ngono na wauza ngono ni wa imani zote.

Mbaya zaidi wapo wanafanya maovu kwa kujifichia Dini.
Chamsingi kwanza Mtu mwenyewe aamue, kuacha yote mabaya, ndipo atamfuata huyo Yesu na Wengine, ila kama mtu hajaamua, hata Yesu amjie mlangoni kwake hamna kitu.
Uchambuzi mzuri mkuu

Ndini iliyo safi ni hii ...." kuwafanyia watu kile ungependa kufanyiwa... Na kuwakumbuka wahitaji.

Huwezi fika viwango hivyo bila Yesu kubadiri utu wako wa ndani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom