Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Hivi wasomi wa Tanzania bara wamelisaidiaje taifa letu huku bara!
Kwenye nchi 20 duniani kwa umasikini wa kutupwa Tanzania tumo, tena kuna nchi zingine zimeingia kwenye kundi la umasikini kutokana vita.
Wasomi wa Tanzania bara ni sawa sawa na punda kabeba mizigo ya vitabu. Ukiangalia mikataba yetu walioingia hawa wasome wetu tunaojitapa nao utashangaa sana hata mwanafunzi wa darasa la tatu hawezi kuwa mjinga kiasi hicho.
Ebu angalia mikataba ya Madini, labda uniambie wasomi wa Tanzania bara wanasifika kwa Ufisadi

kumbe na wewe samtaim huwa unashirikisha ubongo kufikiri.
bravo.
hata hivyo mada yangu haihusu comparison ya wasomi wa Pemba na Bara.
Hivi kumbe wewe mwendawazimu unayajua haya!!!Hivi wasomi wa Tanzania bara wamelisaidiaje taifa letu huku bara!
Kwenye nchi 20 duniani kwa umasikini wa kutupwa Tanzania tumo, tena kuna nchi zingine zimeingia kwenye kundi la umasikini kutokana vita.
Wasomi wa Tanzania bara ni sawa sawa na punda kabeba mizigo ya vitabu. Ukiangalia mikataba yetu walioingia hawa wasome wetu tunaojitapa nao utashangaa sana hata mwanafunzi wa darasa la tatu hawezi kuwa mjinga kiasi hicho.
Ebu angalia mikataba ya Madini, labda uniambie wasomi wa Tanzania bara wanasifika kwa Ufisadi
Hivi wasomi wa Tanzania bara wamelisaidiaje taifa letu huku bara!
Kwenye nchi 20 duniani kwa umasikini wa kutupwa Tanzania tumo, tena kuna nchi zingine zimeingia kwenye kundi la umasikini kutokana vita.
Wasomi wa Tanzania bara ni sawa sawa na punda kabeba mizigo ya vitabu. Ukiangalia mikataba yetu walioingia hawa wasome wetu tunaojitapa nao utashangaa sana hata mwanafunzi wa darasa la tatu hawezi kuwa mjinga kiasi hicho.
Ebu angalia mikataba ya Madini, labda uniambie wasomi wa Tanzania bara wanasifika kwa Ufisadi
nilimsikia dogo mahona akijifariji kwamba CUF imejaa wasomi. labda hakuwahi kufika Pemba:sasa kama wasomi wako cuf, na cuf imekuwa ikipewa ridhaa ya kuongoza pemba miaka na miaka kupitia bunge, madai haya ya mahona yana mashiko?
- pemba hawana barabara, ni vichochoro na vichaka tu from mkoani to chake.
- wapemba ndo binadamu wanaoongoza kwa kupanda meli chakavu kuliko binadamu yeyote hapa duniani.
- wapemba waliobahatika kusoma wanajisikia fahari kuishi unguja na kuacha ndugu zao wakilia na kusaga meno huko pemba.
CCM hao mkuu ndo wametufikisha hapo ulipo, tuwakatae CCM kwa nguvu zote, ni mafisadi sana, tuiunge mkono CDM.
Hao unaowasema ni wasomi wa chama cha Magamba, ndiyo maana CDM wanazunguka nchi nzima kuleta ukombozi kwa Watanzania ili na wewe uwe na maisha mazuri, nakushukuru umeanza kuelewa ubaya wa CCM endelea kuunga mkono People's Power.Hivi wasomi wa Tanzania bara wamelisaidiaje taifa letu huku bara!
Kwenye nchi 20 duniani kwa umasikini wa kutupwa Tanzania tumo, tena kuna nchi zingine zimeingia kwenye kundi la umasikini kutokana vita.
Wasomi wa Tanzania bara ni sawa sawa na punda kabeba mizigo ya vitabu. Ukiangalia mikataba yetu walioingia hawa wasome wetu tunaojitapa nao utashangaa sana hata mwanafunzi wa darasa la tatu hawezi kuwa mjinga kiasi hicho.
Ebu angalia mikataba ya Madini, labda uniambie wasomi wa Tanzania bara wanasifika kwa Ufisadi
umMkuu ukweli anaujua lakini sasa pe diem ya nepi ndio inmpa mtazamo tofauti !

kwa mara ya kwanza inaonekana TAA IMEANZA KUWAKA KWAKO MCHANA!!!!! endelea na tafakuri hatua ya pili......hebu fanya TAKE HOME assignemnt two.
ASSIGNMENT 2: JE ni kwanini wasomi wa Tanzania wanashindwa kudeliver?
i. Influence au maagizo ya Chama tawala (CCM)
ii. Weakness - udhaifu wa chama tawala (CCM)
iii. Both ar correct