Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
nilimsikia dogo mahona akijifariji kwamba CUF imejaa wasomi. labda hakuwahi kufika Pemba:
- pemba hawana barabara, ni vichochoro na vichaka tu from mkoani to chake.
- wapemba ndo binadamu wanaoongoza kwa kupanda meli chakavu kuliko binadamu yeyote hapa duniani.
- wapemba waliobahatika kusoma wanajisikia fahari kuishi unguja na kuacha ndugu zao wakilia na kusaga meno huko pemba.