Kama CHADEMA ingekuwa CCM, ni wazee gani wanaweza kuunda Baraza la Ushauri la Wazee?

Hilo baraza la ushauri la wazee lilikuwa wapi wakati ujambazi mkubwa mkubwa ukitendeka na mawaziri wa serikali kuanzia enzi za Meremeta hadi Escrow

Bora hata lisiwepo maana naona lipo busy kushauri mbinu mpya za kulinda ufisadi kwa sababu wananufaika nao
 
CCM hawana Baraza.la wazee ila wana jumuiya ya wazazi.Na hilo wanaiita Baraza la Wazee sio kweli ni baraza la viongozi wastafu,hata kikwete soon ataingia huko.Kusema CCM wana Baraza la wazee ni kupotosha umma
 
Duh! Mie sijakuelewa. Labda kama wadau wengine wamekusoma
 
chadema haiwezi kuwa kama CCM tafadhari.. Unataka kusema chadema kiwe na mfuko wa kimagamba..
 
Back
Top Bottom