Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,083
- Thread starter
- #21
Kweli kabisa Mkuu. CHADEMA bado kabisa. Yaani hata baada ya kuungana na kuunda UKAWA, sioni mzee mwenye busarawaendele kukua mpaka lisu atakapo kuwa mzee
Kweli kabisa Mkuu. CHADEMA bado kabisa. Yaani hata baada ya kuungana na kuunda UKAWA, sioni mzee mwenye busarawaendele kukua mpaka lisu atakapo kuwa mzee
Suzan Lyimo kazaliwa August 1964 hivyo ana umri wa miaka 51 jee huyo yuko kundi gani? Wazee au vijana? Maana kuna makundi matatu tuu kwa binadamu. Watoto, vijana na wazee. Sasa kama yuko kundi la vijana basi tuambie hao vijana ukomo wao ni umri gani.Mkuu, yaelekea kuwa hawa CHADEMA hawajui hata maana ya wazee. Kuna wakati nimesikia wakimuita Mbowe eti ni Mzee
Wenye busara unaowaona humu sidhani kama wanaingia kwenye siasa za moja kwa moja, sababu ya mizengwe na ubabaishaji unaoambatana na siasa za kivyama. . . .Wamo humuhumu ndani ya JF. Kuna Great thinkers pro Chadema humu ambao nikisoma threas zao naona wana hekima ya kubwa ifaayo kushauri mambo. Tafuta utawaona!
Tuache Masihara jamani. Yaani CHADEMA kumchagua Susan Lymo kuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee ina maana ilikosa kabisa wazee wanaostahili?
View attachment 264510View attachment 264511
Tehe tehe tehe, mkuu umenichekesha sana. Kwa hiyo Suzan Lyimo anamilikiwa?Ukiona mbuzi mjini ujue anamilikiwa na mtu.
Unatokwa mapovu , angalia pembeni mdomo wako unatoa harufu.Experience ya familia yako ndiyo unaileta katika siasa?
1. Mzee ni nani?
2. Ni busara zipi za "wazee wa CCM" zilizojenga chama?
3. Busara ya wazee wako iko wapi kwa Upuuzi ninaouona ndani ya CCM;
-Kila mtu kuwa msemaji.
-Ufisadi wa viongozi wa vyama
-Kupeana madaraka kwa watoto wa viongozi wa CCM ndani ya chama
-Maadili kushuka kwa viongozi wa CCM kutukana ovyo, kukejeli wananchi.
-Kuisema 'Serikali ya CCM' waziwazi kwa wagombea ikiwa hao wagombea ni viongozi ndani ya chama au ndani ya 'serikali ya CCM'.
-Kutumia fedha nyingi kwa kila mgombea(mtangaza nia) ndani ya chama hiki hiki ili kuingia ikulu(refer Busara na maneno ya Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere kuhusu kuingia ikulu kwa fedha n.k)
4. Nitajie mfano wa vyama duniani leo, katika ulimwengu wa siasa leo popote duniani ambapo kutokuwa na "wazee" kumewafanya wakashindwa kuendesha nchi, au kukosa 'harmony' ndani ya chama.
5. Je, unadhani enzi hizi ni enzi za kuangalia "uzee" au busara na hekima ya mtu?
Tehe tehe tehe, mkuu umenichekesha sana. Kwa hiyo Suzan Lyimo anamilikiwa?
Mzee hazai, huyu mama si ametoka kutaga juzi tu?Suzan Lyimo kazaliwa August 1964 hivyo ana umri wa miaka 51 jee huyo yuko kundi gani? Wazee au vijana? Maana kuna makundi matatu tuu kwa binadamu. Watoto, vijana na wazee. Sasa kama yuko kundi la vijana basi tuambie hao vijana ukomo wao ni umri gani.
Kama wewe unadhani Chadema inatambua wazee kuwa ni wale waliofikisha umri wa Kingunge basi umekosea kabisa. Chadema haisubiri mtu awe kama Kingunge (na zile muitazo busara zake) halafu afikie kushindwa kushauri vijana na wazee wenzake zaidi ya kuwavuruga.
HIVI KINGUNGE BADO MNAMWITA HAZINA YA WAZEE HUKO CCM?
Kweli kabisa, nakumbuka ni juzi tu alitoka likizo ya uzazi.Mkuu ana uzee gani huyo?? Mali ya mtu hiyo kwa maslahi ya mtu binafsi.
Si bora Mkapa kuliko hao mnaowaita wazee , wakati bado wanataga.Mkapa naye ana busara ya mgodi wa Kiwira au?
Unatokwa mapovu , angalia pembeni mdomo wako unatoa harufu.
Tuache Masihara jamani. Yaani CHADEMA kumchagua Susan Lymo kuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee ina maana ilikosa kabisa wazee wanaostahili?
View attachment 264510View attachment 264511
Tehetehetehetehe. Hilo baraza la wazee linaitwaje na wajumbe wake ni akina nani?