Kama CCM ilipata 84% ya kura za Urais na ikapata 99% ya Wabunge wa kuchaguliwa kuna haja gani tena ya Maridhiano?

Takwimu huwa hazidanganyi.

CCM ilipata 84% ya kura za uRais kwenye uchaguzi mkuu wa 2020

Chadema ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Nkasi kaskazini

CUF ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Mtwara Vijijini

ACT wazalendo ilipata wabunge 3 wa kuchaguliwa Zanzibar.

Katika mazingira kama haya patahitajika maridhiano ya nini?

Sabato njema.
Maridhiano ni TABIA YA WAUNGWANA NA WASTAARABU!
 
Takwimu huwa hazidanganyi.

CCM ilipata 84% ya kura za uRais kwenye uchaguzi mkuu wa 2020

Chadema ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Nkasi kaskazini

CUF ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Mtwara Vijijini

ACT wazalendo ilipata wabunge 3 wa kuchaguliwa Zanzibar.

Katika mazingira kama haya patahitajika maridhiano ya nini?

Sabato njema.
CCM hawakupata hizo kura,waliiba kwa kuandika tu figures wanazotaka.

Ata wanafunzi wa primary wanajua hili,wewe uko nchi gani?

Isingekuwa wizi CCM isingefika ata asilimia 30.
 
Takwimu huwa hazidanganyi.

CCM ilipata 84% ya kura za uRais kwenye uchaguzi mkuu wa 2020

Chadema ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Nkasi kaskazini

CUF ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Mtwara Vijijini

ACT wazalendo ilipata wabunge 3 wa kuchaguliwa Zanzibar.

Katika mazingira kama haya patahitajika maridhiano ya nini?

Sabato njema.
Maridhiano kwa ajili ya kuridhiana ili wapate Muafaka wa Kitaifa kwa Ajili ya Mama Tanzania (Mbatia).
 
Mbele ya polisi nanrisasi za Moto. Sandarusi za maiti Coco Beach, Ben saanane, Azory, MKIRU, umesahau? Wote wameuawa na Jiwe. Kisasi kitaanzia hapo.
Mbona 2015 Kilombero Chadema iliiba kura kwa mujibu wa mbunge aliyeshinda Lijualikali?
 
Yaa wewe unafikiri vizuri na sahihi. Hapa kuna uchaguzi. Umeshindwa vibaya halafu unataka maridhiano eti ya kitaifa. Maana ya demokrasia ni nini? Maridhiano ya nini? Ina maana nikubaliane na sera zako na kuwaingiza serikali wakati umeshindwa kura vibaya? Au maridhiano ya kuwaachia wafungwa au fisadi au nini. Yaani chadema ni chama cha ajabu.

Kumbe pamoja na maridhiano kutofanyika tayari wewe ukijua ajenda?? Au ni tabia yako ya umbea na mashosti zako saloon ndio chanzo cha taarifa hizi??

Hapa tuna siasa za winner takes all! Sidhani Chadema walitaka hilo. CCM ilipeleka wabunge 19 Bungeni bila taratibu sahihi. Mikutano ya siasa ilazuiliwa na presidential decree. Watu wakaadhibiwa na kufunguliwa kesi za kisiasa. Uonevu wa wasimamizi wa uchaguzi, Tume huru ya uchaguzi nk. Haikuwa wakitaka kuwa sehemu ya serikali!

Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini kuna maslahi ya taifa yaliyo muhimu kwangu. Hata Zanzibar walikuwa na maridhiano, CCM si ilishinda??!!! Kwanini??
 
Huu ulikua UCHAFUZI.... Tukifanya UCHAGUZI, majibu yatakuja tofauti Sana.

IMG_1690.jpg

Ulikuwa ujambazi
 
Takwimu huwa hazidanganyi.

CCM ilipata 84% ya kura za uRais kwenye uchaguzi mkuu wa 2020

Chadema ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Nkasi kaskazini

CUF ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Mtwara Vijijini

ACT wazalendo ilipata wabunge 3 wa kuchaguliwa Zanzibar.

Katika mazingira kama haya patahitajika maridhiano ya nini?

Sabato njema.
Iliiba haikupata kura hizo,ndio chizi alibaki dodoma kuiba kura na kujitangaza,maendeleo hayana chama
 
Takwimu huwa hazidanganyi.

CCM ilipata 84% ya kura za uRais kwenye uchaguzi mkuu wa 2020

Chadema ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Nkasi kaskazini

CUF ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Mtwara Vijijini

ACT wazalendo ilipata wabunge 3 wa kuchaguliwa Zanzibar.

Katika mazingira kama haya patahitajika maridhiano ya nini?

Sabato njema.
Maridhiano na hao magaidi ni kupoteza muda tu. Saccos yenyewe imekongoroka, imebaki dhofulhali.
 
Back
Top Bottom