Kama boss wako ni mwanamke, hii inakuhusu

Kama boss wako ni mwanamke, hii inakuhusu

kuna jamaa pale huduma kwa wateja ile kampun yenye makaz mliman city.kapewa umeneja kwa staili hii ya masifa ya kijinga kwa bidada boss
 
Kazini jambo la kwanza hua ni kufanya kazi kwa bidii, kufuata taratib za kazi na kujitahidi kumfanya bosi wangu afikie malengo yake ya kazi vizuri.

Kama ni kujipendekeza, hua najaribu kumshauri kuhusu mambo ya uboreshaji wa idara yetu na si mambo yake binafsi.
Jipendekeze kwa bosi kwa hizo mbwembwe za kumsifia mara kapendeza huku mzembe kama hajakutimlia mbali, akuchekee apoteze kibarua?
 
Kama wewe ni mwanaume na unafanya kazi katika ofisi ambayo unatakiwa kuripoti kwa boss mwanamke nisikilize mimi MCHUNGUZI HURU :-

1. Kila akifika kazini asubuhi hata kama hajapendeza msifie, mwambie boss nimekukubali yaani mambo yako ni kama mcharo vile yaani unajua kunyuka balaa.

2. Hata kama kila siku unaona anazidi kuzeeka, mwambie boss unakula nini mbona kila siku naona unazidi kuwa kijana tu. Sijui ndio pesa zimekukubali au ndio nature ya mwili wako.

3. Akija na style mpya ya nywele, mwambie boss yaani wewe kila style ya nywele inakukubali

4. Kila anachokifanya we msifie tu hata kama ni ujinga

MATOKEO YAKE;
1. Kila safari ya kikazi lazima atakupendekeza uende nae
2. Mshahara wako atakuwa anapendekeza uongezewe
Kumbuka, hata ufanye kazi kwa bidii kiasi gani boss wako akisema hufai na akatoa hata sababu za uongo inakula kwako. Boss hanuniwi vijana

NB: Kujipendekeza kupita kiasi ni hatari kwa afya yako

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

kuna mwingine hata usifie vipi zile sifa haziendani kama si kushabihiana nae je na hapo utafanya nini? hivi huku ni kusifia au kujipendekeza?
 
Kuna mwingine unakuta ana sura ya mbuzi, ata swaga za kumsifia unashindwa
 
bosi wangu hata nikimsifia atajua namdanganya.
 
The thing kuhusu wanawake ni kuwa wanakuwaga na
'favorite people ' na watu ambao 'not so favorite '

so wale ambao ni 'favourite' they can get away with anything
wakati wale wengine wanakiona cha mtema kuni
 
The thing kuhusu wanawake ni kuwa wanakuwaga na
'favorite people ' na watu ambao 'not so favorite '

so wale ambao ni 'favourite' they can get away with anything
wakati wale wengine wanakiona cha mtema kuni

I've seen this too, dawa yao ni ku ignore their favoritism na ku focus na kazi
 
mmmhh kuna ma manager wengine ni kwikwi duu kufanya kazi nao ni ngumu bas tu
 
I've seen this too, dawa yao ni ku ignore their favoritism na ku focus na kazi

Once nilikuwa na boss mwanamke
yeye weakness yake ilikuwa kwenye 'handsome boys'
yaani hata ki trainee tu kama ni ki handsome basi anaweza kukipa
majukumu au kazi hata ambazo hazimhusu...
wale hard working guys ambao not so handsome alikuwa hawaoni kabisa
it takes her time kujua anakosea wapi...nilikua nacheka sana kimya kimya

the hard working but not so handsome guys walikuwa hawajui anatumia criteria ipi ku promote watu
i was the only one who noticed 'handsome boys' walikuwa way favored hata kama ni ma lazy
it was funny.....
 
  • Thanks
Reactions: kui
Ni kwamba haujui Kiswahili au ni ushamba tu?
Kiswahili najua na sidhani kana kuzungumza kiingereza ni ushamba. Ni kwamba tu, nilichotaka kusema kinasound (kinasikika) vizuri kwa kiingereza mkuu. Sijui umeona hata hapo?
 
Back
Top Bottom