Kama boss wako ni mwanamke, hii inakuhusu

Kama boss wako ni mwanamke, hii inakuhusu

Na kama ni lakushindkanaa utapita tuu na hata kama analala on bed whn doin it kama gogo hajua niajeee utamsifia that mmmmhhhh yoh soo sweet...! Damn it
 
We msifie uone atakukata hilo jicho, humuangalii tena hadi unastaafu

hahahaha sie wadada wenye mabosi wadada wenzetu tunakomaje....ukipendeza kumzidi kosa, ukisuka vizuri kosa. Wanawake sijui tuna nini.....
 
badala yakufanya kazi unaaka sifia mabos acha ujinga nyie ndio mnao tamani mabos zetu kwa manufaa yenu utakufa
 
siajenda kazin kusifia wake za watu na wachumba za watu, nimeomba kazi kufanya kazi na sio kujipendekeza hata kama nikiwa hapa hapa nilipo kwa chuki binafsi za boss wangu siku inakuja nitatoka tu, bidii yangu nauwadilifu pamoja na mungu ndio wakujipendekeza kwao sio mwanadam kama mimi. Acha ujinga
 
Inategemea,kama ni mke wa mtu ukimsifia utahatarisha kazi yako au maisha kabisa.
 
Huyu alivyo kauzu sijui namuanzaje. Nahisi nitafanya hivyo nikiwa na ajira nyingine mkononi. Huyu ni kauzu balaa
 
Mwanaume unasifu kimoyomoyo. Utaanzia wapi mara nywele, mara nguo na vitu kama hivyo. Sijui lakini nahisi kwa wanaume wengi hiyo ngumu kumesa!
 
Ni bahati hiyo,
Anza sasa nawewe uanze kula masafari na ma-imprest ya kumwaga huku mshaharawako ukifikiriwa kupanda
-Umeshafunguliwa njia, Kuwa unachotaka.
hahaha mkuu shetani ashindwe
 
hahaaa acha nicheke tuuu maana huu uchunguzi ni hatariiiii sana kwa afya ya kazi yako.
 
Kama wewe ni mwanaume na unafanya kazi katika ofisi ambayo unatakiwa kuripoti kwa boss mwanamke nisikilize mimi MCHUNGUZI HURU :-

1. Kila akifika kazini asubuhi hata kama hajapendeza msifie, mwambie boss nimekukubali yaani mambo yako ni kama mcharo vile yaani unajua kunyuka balaa.

2. Hata kama kila siku unaona anazidi kuzeeka, mwambie boss unakula nini mbona kila siku naona unazidi kuwa kijana tu. Sijui ndio pesa zimekukubali au ndio nature ya mwili wako.

3. Akija na style mpya ya nywele, mwambie boss yaani wewe kila style ya nywele inakukubali

4. Kila anachokifanya we msifie tu hata kama ni ujinga

MATOKEO YAKE;
1. Kila safari ya kikazi lazima atakupendekeza uende nae
2. Mshahara wako atakuwa anapendekeza uongezewe
Kumbuka, hata ufanye kazi kwa bidii kiasi gani boss wako akisema hufai na akatoa hata sababu za uongo inakula kwako. Boss hanuniwi vijana

NB: Kujipendekeza kupita kiasi ni hatari kwa afya yako

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Ushauri haufai huu, uwezi kuwa mtumwa kwa ajili ya weaknesses za boss wako wa kike. Kama mimi simsifii, napiga kazi, na sifukuzwi kwani impact ya kazi yangu inaonekana mpaka kwa boss wake, and staff performance evaluation system ni style 360 degrees.
 
Back
Top Bottom