baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,720
- 4,471
Kitu kuwa sawa baina ya Quran na Biblia ni kawaida kumbuka Quran imekuja ku update hivyo vitabu baada ya kuwa corrupted.QUR'AN ILIKOPI SEHEMU ALIPOFIKA PAULO KWENYE BAHARI MBILI ZIZILOKUTANA [YAANI BAHARI CHUMVI NA BAHARI ISIYO NA CHUMVI ]
SWALI LETE ANDIKO MIMI ALLAH NIMEUMBA BAHARI NDANI YA QUR-AN YENU KAMA HAMJAKOPI BIBLIA
Mwanzo 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁹ Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo.
¹⁰ Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
MUNGU WETU ALIZIPA BAHARI MIPAKA YAKE USHAHIDI HUU HAPA KABLA YA MUHAMMAD KUZALIWA NA KABLA YA QUR-AN YENU KUANDIKWA
”Mithali 8:29 “Alipoipa bahari mpaka wake, Kwamba maji yake yasiasi amri yake; Alipoiagiza misingi ya nchi;
Zaburi 24 (Biblia Takatifu)
¹ Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.
² Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.
PAUL NDIYE WA KWANZA KUFIKA HAPO KABLA YA MUHAMMAD WENU KWENYE BAHARI CHUMVI NA BAHARI TAMU USHAHIDI HUU HAPA KASOMA MATENDO 27:1-44
Matendo ya Mitume 27:41 “Lakini wakafikia mahali palipokutana bahari mbili, wakaiegesha merikebu, omo ikakwama ikakaa isitikiswe, bali tezi ilikuwa imefumuliwa kwa nguvu za mawimbi.
QURAN IMEKOPI BIBLIA NA IMEKOPI ALIPOFIKA PAULO KWENYE BAHARI MBILI ZIZILOKUTANA YAANI BAHARI CHUMVI NA BAHARI ISIYO NA CHUMVI USHAHIDI HUU HAPA
SWALI AYA IPI MIMI ALLAH NIMEUMBA BAHARI NDANI YA QUR-AN YENU KAMA SI KOPI YA KUTOKA KWA PAULO MATENDO 27:41
Quran 55:18-20
18. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
19. Anaziendesha bahari mbili zikutane;
20. Baina yao kipo kizuizi, zisiingiliane
Quran 25:53. Naye ndiye aliye zipeleka bahari mbili, hii tamu mno, na hii ya chumvi chungu. Na akaweka baina yao kinga na kizuizi kizuiacho
ASALAAM ALEIKUMView attachment 2403236
Hivyo si jambo la ajabu kitu ambacho kipo corrupted kuwa na mambo mengine sahihi na mengine sio sahihi.
Nitakupa mfano kwenye Quran Aya zote zinazomhusu Yusuf zinamtambulisha kiongozi wa Egpty kama Mfalme, na Aya zote zinazomhusu Musa zinamtambulisha kiongozi wa Egpty kama pharaoh. Ila kwenye Bible kipindi cha Yusuf ama Musa kote anaitwa pharaoh.
Gunduzi za karibuni baada ya watu ku decipher ancient Egpty language zinaonesha Pharaoh ni cheo cha kidini, kipindi cha Yusuf mfalme alitoka Syria na alikuwa na miungu yake tofauti na Ya Egpty na aliikataa miungu ya Egpty hivyo hakuwa Pharaoh.
So kihistoria Quran ipo sahihi mfalme wa Egpty kipindi cha Yusuf hakuwa Pharaoh, pharaoh alikuwa kipindi cha Musa, hivyo unaona hapa Quran ime correct kosa la Bible.
Si hii tu kuna Story nyingi sana za Nyuma ambazo tech ya sasa ime prove Quran ipo sahihi na Bible haijaelezea, ukipata Muda pia pitia Story ya Ibrahim na miungu ya watu wake kama Moon, sun na Venus, Quran ipo specific kabisa waliabudi Venus, kitu ambacho Tafiti za sasa zinakubali.