Rais mama amesha sema Juma tatu na Alhamisi ni siku mapumziko hapa kazi tu ulikuwa usemi wa kitumwa eti apa kazi tu!Tanzania huru inarudi
Miwa yangu ina karibia kukomaa uje nikuuzie!Sisi Wasukuma tuna bahati mbaya sana fursa pekee tukajifanya miungu watu sasa tunarudi kula miwa kwenye baiskeli
Ndio wameshika kwenye mpiniHao CCM asilia ni majizi, system haiwezi kuwaruhusu
Ile ilikuwa kamaliWale waliounga mkono juhudi nahisi watapata ugonjwa wa moyo maana kura za maoni CCM wengi waliangushwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Mkuu ushaona au kusikia salamu za rambirambi au pole kutoka kwa JK,Malope,Kinana,Lowasa?
Bora hao majizi lakini hela zilikuwa kwenye mzunguko mtaani kila mtu zinampitia,sio hao washamba mafisadi wa kimya kimya hela wanazifukia ndani shenzitype zao.Hao CCM asilia ni majizi, system haiwezi kuwaruhusu
+ January
OhoooSisi Wasukuma tuna bahati mbaya sana fursa pekee tukajifanya miungu watu sasa tunarudi kula miwa kwenye baiskeli
πππππSisi Wasukuma tuna bahati mbaya sana fursa pekee tukajifanya miungu watu sasa tunarudi kula miwa kwenye baiskeli
π π π π π π π πSisi Wasukuma tuna bahati mbaya sana fursa pekee tukajifanya miungu watu sasa tunarudi kula miwa kwenye baiskeli
Yupo Kwake mkuuHivi Lowassa yuko wapi ?