Kama bado hajapimwa, kwanini asipimwe?

Mama yetu kichanga anaendeleaje?
 
Apimwe blood alcohol level 48 hours after the fact? Wewe ndiyo ukapime mimba mingine
 
Hivi mtu apigwe kabisa hata michubuko hana. Kichwa kizima kabisa. Avunjike tu mguu ?Huyu pombe ndo imemsababishia haya. Kipigo ;Jamaa wangeconcertrate kichwani,kifuani,mwili wote kwa ujumla.

Halafu, kama kapigwa kweli, ina maana kapigwa kimyakimya?

Hakupiga hata mayowe? Majirani zake hawakusikia purukushani? Au hana majirani yeye?
 
Alipigwa na nani sasa?

Aache ulevi. Pombe sio chai.
 
Tukio la Lissu na tukio la huyu Mbowe wenu, mazingira yake ni tofauti kabisa.

Wewe na wenzako mmeng’ang’ania narrative ya yeye kupigwa kwa sababu inaendana na ajenda zenu.

Pitiful.
 
Akome kulewa sasa. Na akome kufukuzia wake za watu.
Ulitafuniwa nn mzee
Kwani hata akinywa pombe ni yeye pekee yake anakunywa.... Au unataka tukupe vijiwe ambayo viongozi wanakuja na kunywa na wanakaa na faragha zao, hata hivyo ni ushamba kusema
Tena uboyaaaa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Mtu mzima na akili zake anaandika mada kama hii!Kuna siku mtakuja hapa na kusema kuwa yote mliyokuwa mnasema na kuunga mkono mlikuwa wrong, mark my words!
Washamba hawaishiii
Ndomana namkubaligi mtemi wa tabora
Licha ya mapungufu yke lkn hana ushamba
Nafikiri umenielewa mkuu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Umeona makamanda walivyokuja juu kupinga Mbowe kupimwa kilevi? Sasa KUB anapata ajali anakimbizwaje kituo Cha afya Cha binafsi badala ya kumpeleka hospitali ya serikali? Halafu wamempeleka dar ila hawasemi hospitali gani! Huyu siyo mgonjwa kateguka mguu kafichwa kwake.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko wangesema ukweli kwamba alikuwa chakari, hizo ni hospitali za serikali ndo maana wakamkimbiza kwenye kidispensari Cha mshikaji wao kuficha ukweli.
KUB Hana hadhi ya kupelekwa pale kutibiwa ndo maana wamemficha nyumbani kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo cha msingi ni kujua kama kweli ameumia ( imesemwa Bungeni kuwa hakuumia) na kama ameumia, ameumiaje. Suala la ulevi ni sekondari. Kama amepiga mtu au kuua mtu navyo vinaweza kuthibitishwa.

Amandla...
Chadema wamesema kavunjwa mguu, bungeni imesemwa kateguka mguu baada ya kuteleza kwenye ngazi kwa sababu ya ulevi. Kama kateguka maana Yake kaumia ila hajavunjika hata daktari aliyemtibu kasema hajavunjika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,mwaka huu hela za upambe jamaa wamebana sana,tunafanyaje
 
Angekuwa kaumizwa kiasi kikibwa asingekubali kupelekwa kwenye kidispensari Cha binafsi. Halafu sema huko dar kapelekwa hospital gani? Acha apumzike huko kwake maana kwa taarifa toka kwa mnyika, Mbowe hakuwa peke Yake. Ila hajataja alikuwa na Nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukio la Lissu na tukio la huyu Mbowe wenu, mazingira yake ni tofauti kabisa.

Wewe na wenzako mmeng’ang’ania narrative ya yeye kupigwa kwa sababu inaendana na ajenda zenu.

Pitiful.
Hivi hii animus dhidi ya Mbowe inatokana na nini? Hivi tumefika mahali ambapo mtu yeyote anayetaka haki itendeke kuhusiana na kuumia kwa Mbowe anahesabika kuwa ni mfuasi wake? Tunachosema ni kuwa uchunguzi kamili ufanywe juu ya tukio zima badala ya kutafuta vijisababu vya kuzuia kufanyika. Kama uchunguzi huo uta conclude na kututhibitishia kuwa Mbowe alikuwa ameanguka mwenyewe na hamna mwingine aliyehusika so be it. Kuna sheria inayohusu kutoa taarifa za uongo kwa polisi. Kama itagundua na kututhibitishia kuwa alipigwa na mume wa mwanamke ambae alikuwa anamfukuzia atabanwa pia na sheria ya kutoa taarifa ya uongo. Kama itagundulikana na kuthibitika kuwa ni kutokana na ugomvi wa kibiashara, nayo tutapokea. Hivyo hivyo kama itagundulika na kuthibitishwa kuwa imesababishwa na ushindani wa kiasi ( ndani au nje ya chama chake) nayo tuambiwe. Chama chake kimedai uchunguzi wa dhati na mpanq ufanyike ili ukweli ugundulikane. Nilitegemea ungewaunga mkono maana uongo wake utajulikana tu baada ya uchunguzi mpana na tuhuma kuwa shambulio hilo ni la kiasa zitakosa mashiko. Lakini hapana. Mnataka wote tuamini kuwa kwa sababu alionekana akinywa pombe na kuna tuhuma kuwa alikuwa na kimada kuumia huko ni kwa kujitakia. Kama nilivyosema awali, you are better than this.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…