Kama bado hajapimwa, kwanini asipimwe?

Hata hueleweki mkuu.
 
usalama wake? Mkimmalizia huko govt?
 
Mkuu wangu niwie radhi, hawa wanatufanya tuwakosee na wasio husika.
Dah! Mkuu tafadhali usifanye conclusion kwasababu yake. Pamoja na kwamba akili kama zake ni mojawapo ya sababu ya hilo tatizo ulilolitaja hapo juu.
 
Inawezekana kabisa inawezekana mwamba alikua bwii mpaka akapoteza balance na kuvunjika mguu..... ingawa ukilewa you're not immune to attacks kutoka kwa wasiojulikana
 
Inawezekana kabisa inawezekana mwamba alikua bwii mpaka akapoteza balance na kuvunjika mguu..... ingawa ukilewa you're not immune to attacks kutoka kwa wasiojulikana

Akome kulewa sasa. Na akome kufukuzia wake za watu.
 
Mtoa mada kaingia mkenge Wa maccm, wamezusha alilewa I'll kuficha maovu yao.sawa na msiba Mara anasema lissu alishambuliwa na chadema ili kumkwamisha asigombee uwenyekiti, Mara alishambuliwa ili agombee urais.duh
 
Huu mtego Wa ulevi ccm wameupatia umenasa wengi sana, tatizo uwongo hukimbia sana, ukweli uko polepole hauna haraka
 
Hizi nondo zako nime note mara nyingi humu ndani huwa hazijibiki; nakushauri kamatia hapo hapo, usilegeze mpaka wajinga wote wakimbie jf wenyewe.
 

Mtu akilewa hawezi kupingwa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mnaogopa nini makamanda? tulieni kaeni mkao wa kula vyombo viko kwa hatua za mwisho za uchunguzi.
Kwa mwenendo wa serikali hii hivyo vyombo vya uchunguzi vikionesha "alilewa chakali", unatarajia mabalozi wa nchi mbalimbali na jumuia ya kimataifa wataamini hivyo na kulaani "uongo" wa Mbowe kwamba "aliisingizia"serikali? Ishatoka hiyo!
 
Binafsi nadhani hakwenda hospital ya Serikali kwa sababu ya Usalama.

Pia walevi hudondoka ila huwa hawavunjiki kama yeye.

Pia angekuwa kalewa asingesema kapigwa


Nadhani upo sahihi
 
Acheni ujinga mtu akilewa hawezi kuvamiwa?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mnaogopa nini makamanda? tulieni kaeni mkao wa kula vyombo viko kwa hatua za mwisho za uchunguzi.
Vipi na tukio la kupigwa risasi Lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…