Kali za Bungeni Leo

Kali za Bungeni Leo

ni babu mshamba toka mara anayejifunza mipasho ya uswahilini! ni aibu kuwaacha watu wa aina ya werema ktk nafasi nyeti na kuwalipa kwa kodi zetu,ni dharau ya serikali kwa wananchi,au ni mbunge wa viti maalum baraza wazee ccm? atafute jimbo huko kwa wahasira ameezeka atamwachia 2015
 
Mkoa wa MARA una makabila mengi sana.....sasa huyu WEREMA ivi ni kabila gani maana nahisi apa atakua ametafsiri msemo wa kabila lake....BTW tangia TZ ipate uhuru uyu katia fola kwanza umbo lake tu ni km sio mwanasheria, kiswahili chake tu ni km sio mTanzia sasa points zake tu ndo kabisa utadhani ni product za div 5......Pliz JK jaribu kutafuta watu intellectual ktk position nyeti km hizi........
 
Taipu ya Werema huwa wanakuwa waganga wa kienyeji sasa sijui kama hajawahi practice??
 
Nimemsikia Werema leo bungeni,hakika jamaa ni ziro,hana hata aibu,anaongea maneno ya kuudhi,matusi na napata mashaka kama anajua sheria vizuri.
Hili la anaevaa nguo za mama yako ndio baba yako ndo limeniacha hoi kabisa.
 
Anayevaa nguo za baba yako ndiye mama yako. Mhe. Jaji Fredereck Werema.

Huyu mtu kweli amechoka, hivi hajui kuwa baba ni mwanamme na nguo zake ni za kiume wakati mama ni mwanamke na nguo zake ni za kike? Lawama zote kwa JK anayeendelea kuwaweka madarakani watu kama hawa!
 
Utadhani alifaulu kwa div 5.................
 
Hii haipo popote duniani. Sijui kaitoa wapi, eti mvaa nguo ya mma yako ndio babako.Yaani Kikwete anavaa magauni ya wamama wa Tz au? Eti hii ndio hoja kwa nini Majaji waape kwa Rais.
 
Kwa miaka 50 hakuna sheria inayosema majaji waape kwa Rais ingawa najua huwa wanaapa kwa mazoea tu mnafanya mambo kienyeji enyeji tu,leo wewe AG unasema kuapa mbele ya Rais hakuingilii uhuru wa mahakama,what a nonsense-Tundu Lissu

Kweli this is none sense ever maana AG anashindwa kujua kuwa anapo apa mbele ya rais hawezi kuwa na uhuru wa kumkatalia akihitaji jambo fulani lifanyike.
 
Nahisi kuna vitu hujaweka na hilo neno katamka kumaanisha nini?
 
Back
Top Bottom