Kali za Bungeni Leo

Kali za Bungeni Leo

Badala ya kua 'big results now' itakua 'bad results now' -jj Mnyika
 
Huyu AG ni janga kubwa kwa sheria za Tanzania.
 
werema ni genious ata mpige Makelele na kuvua Nguo ukweli ndo huo
 
"huyu AG simwelewi,anafanya kazi kama mwanasiasa au ni mwanasheria mkuu wa serikali?"by Tundu Lissu,bungeni leo.
 
Hao ndio wanasheria wetu kesi ya kuku miaka30jeda kesi ya kuuwa miaka 2 au faini ya sh. 200000

Au mtu kakamatwa na madawa na ushahidi wote umethibitishwa na madaktari na wengine lakini hakimu anakubali kweli amekamatwa na madawa ya kulevya ila polisi hawakuthibitisha mbinu waliyotumia kumkamata
 
Back
Top Bottom