Kali ya wiki........

ah,me cjaipenda kbsa wiki hii. make nimekuwa busy na kusoma kwa ajili ya mitihani next week. nauchukia kweli huu mwezi wa 5!
 
wiki hii nimechokonoa masikio kwa mara ya kwanza kabisa tangu nizaliwe.. daah! utamu wake nashindwa hata kuelezea..
 
ah,me cjaipenda kbsa wiki hii. make nimekuwa busy na kusoma kwa ajili ya mitihani next week. nauchukia kweli huu mwezi wa 5!

unachukia nini sasa...au unataka usome tuuuuu usifanye exams, Next time anza kujiandaa mapema huko kuchukia hakutakwepo
 
ah,me cjaipenda kbsa wiki hii. make nimekuwa busy na kusoma kwa ajili ya mitihani next week. nauchukia kweli huu mwezi wa 5!
Teh teh teh teh teh teh! prof. Wenu ndo yule amekunywa maji ya bendera ya nchi hii. Na ana uchungu kwel na hii nchi. Kama ulikula gud tym sana atakudaka tu!
 
Back
Top Bottom