Kali ya mwaka

Kali ya mwaka

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,313
Reaction score
2,876
Kulikuwa na watu watatu, ambao walikuwa mabaghili kupita kiasi. Siku moja walikwenda baharini, wakaamua wafanye mashindano ya kuzamia ndani ya maji.

Wakawekeana masharti yafuatayo: Atakae ibuka mwanzo awape offer wale wenziwe, hali ya kuwa wote ni Mabaghili!!! . Wakaingia ndani ya maji na kuaza kuzamia, mpaka leo hakuna aliyekuja juu. Kwa kuhofia kuwapa offer wenziwe, walikhiyari wafe.
 
Back
Top Bottom