Kalemani arudishwe Wizara ya Nishati

Kalemani arudishwe Wizara ya Nishati

fdizzle

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,902
Reaction score
2,405
Naandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa kwa hali hii inavyoendelea sasa ya kukatika kwa umeme.

Binafsi shughuli zangu zinahitaji uwepo wa umeme kwa 100%.

Wakati wa Kalenani hata ikitokea umene unakatika basi hayazidi masaa matatu na hilo hutokea kwa mwezi mara moja.

Lakini toka aje huyu Waziri mpya binafsi sijaona tija yoyote iliyoletwa nae kwenye wizara hii. Mh. Rais tunaomba utusaidie kufanya mabadiliko uturejeshee Kalemani. Tukishasahau haya mambo ya kukata kwa umeme.

Shughuli zetu zimesimama hatuna tunalolifanya. Mh. tunaomba usikie kilio chetu hii wizara inamfaa yule aliyeondoka.

Huyu aliyepo ungempa wizara ya mazingira sio hii haiwezi.
 
Unachopaswa kujua hiyo wizara inaigusa jamii moja kwa moja hakuna atakayr dumu kitini endapo ataleta janjajanja. Hata january asipo kaa vyema hataweza kufika 2025
 
Kuna kitu nataka kuandika lkn naona nitaishika sirikali mashavu!
 
Anaturudisha misri hakyanani
Misri tulisharudi tayari, sasa kuupata mlango wa kaanani iiiii sijui, embu ona umeme unakatika SAA 7 mchana , SAA 12 na nusu unarudishwa SAA 1 unakatwa SAA 4 usiku eti ndiyo wanarudisha hii ni Misri tosha.
 
Waziri mpya ana ubia na kampuni ya solar na kampuni ya magenereta amewekwa pale kimkakati sio kwa bahati mbaya na kila akijaribu kujitetea mungu anamuumbua.
 
Kaleman good man
Nakubaliqna na wewe kabisa mkuu
Ilifika wakati mtu unajiuliza mbona umeme.haukatiki siku hizi na ukikatika jibunlinalikujia ghafla ni luku imeisha
Lakini huyu jamaa hamna kitu kabisa. Toka wameingia mipango yangu inavurugika kwa sababu ta haya mambo ya kukata umeme.
Tunamuomba Mh Rais huyu waziri amuweke kwenye mazingira huku turejeshee Kalemani
 
Marehemu aliwahi kusema huwa wanafanya hivi ili wauze majenereta.
 
Naandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa kwa hali hii inavyoendelea sasa ya kukatika kwa umeme.
Binafsi shughuli zangu zinahitaji uwepo wa umeme kwa 100%.
Wakati wa Kalenani hata ikitokea umene unakatika basi hayazidi masaa matatu na hilo hutokea kwa mwezi mara moja.
Lakini toka aje huyu waziri mpya binafso sijaona tija yoyote iliyoletwa nae kwenye wizara hii. Mh. Rais tunaomba utusaidie kufanya mabadiliko uturejeshee Kalemani. Tukishasahau haya mambo ya kukata kwa umeme.
Shughuli zetu zimesimama hatuna tunalolifanya. Mh. tunaomba usikie kilio chetu hii wizara inamfaa yule aliyeondoka. Huyu aliyepo ungempa wizara ya mazingira sio hii haiwezi.
Kelemani ndo alikua anakojoa mvua ati ee
 
Kelemani ndo alikua anakojoa mvua ati ee
Mkuu huko mkoani kwenye mabwawa saizi ni masika mvua inanyesha kila kukicha hata dodoma ambako ni jangwani saizi inanyesha sema huyu jamaa na genge lake wanataka kupiga hela kwenye miradi ya gesi
 
Tunatalawila na Mwanamke ambaye hana uwezo wowote wa kuongoza chochote.
Duh,nina mashaka sana na uelevu wako kwani maneno unayoandika sijui kama yanatoka kwenye kichwa chako,tumemwamini na tumemkabidhi awe jemedari wetu wa kuongoza jahazi hili.Halafu kumbuka pia u-rais ni taasisi si vinginevyo
 
Mkuu huko mkoani kwenye mabwawa saizi ni masika mvua inanyesha kila kukicha hata dodoma ambako ni jangwani saizi inanyesha sema huyu jamaa na genge lake wanataka kupiga hela kwenye miradi ya gesi
Umemjibu wa nini?
Ungemuacha na ujuhs wake!
 
Mkuu nakuunga mkono,japo hata kalemani kipindi anapewa Wizara tulimchana sana hapa JF,kutokana na mgao wa umeme,
Screenshot_20220210-080328.jpg
 
Back
Top Bottom