Mkaliamboga
Member
- Aug 7, 2026
- 23
- 34
Sasa nani hajampa Sugu respect yake?Block41 ni nyumbani sugu kaanza kuja block41 kabla hata ujio wa kuwepo kikosi cha mizinga,huyo mdg wangu pina bado hata kuvuma huko
Kabla ya kikosi block41 kulikuwepo na maskani ya Indianapolis sugu ndiyo alikuwa anakujaga ku hang na mabaria huko
Hebu mpeni sugu respect yake
Ova
Sasa anayeandika kijuaji ni mm au wewe?Sasa mbona unaandika kijuaji juaji sana bro kote juu huko umekalia kusema Sugu anamkubali Kalapina kwa sababu zamani aliimba verse mbili tatu kumsifia kwani wewe hujui kwenye maisha kuna marafiki kugombana au kutofautiana mawazo?
1999 mpaka leo miaka 27 imepita still utegemee mtu mwenye akili active kama Sugu aendelee kumkubali mvuta bangi unga na chawa wa wanasiasa uchwara?
Soul artist ndio nn?Yes uko sahihi, Indianapolis.
Mshkaji ujuwe siyo mtoto wa Dar, kwahiyo Dar amepambana mwenyewe ndio maana alikuwa anatafuta base ya kukaa, na game ya zamani ilikuwa ni ya kimakundi zaidi siyo soul Artist ndio maana kuna muda alijiunga na kina Balozi Doula Soul kwenye kundi la DPT huku akiendelea na soul project zake.
Ila na yote hayo Sugu alimpa credit kwenye nyimbo zake na akakuacha wewe mjanjaYes hana kipaji ana force tu kukaza Sauti anaenda nje ya beat a nacho kiimba hata hakina maana
"Indianapolis" kwenye ile ngoma ya Sugu feat. Dolla Soulz "Sema Nao" wameipaisha hiyo maskani. Watu wametoka mbali na hii game Aisee! 1997/1998 ngoma hiyo. Daah!Pina mtoto mdg sana kwa sugu kuhusu bongo fleva,
Block 41 ,kabla ya maskani kuitwa kikosi Cha mizinga, ilikua inaitwa Indiana na Sugu alikua mmoja wapo na Hashim Dogo
Pimbi babakoMimi siyo Celeb pimbi wewe.
Inasemwa aliwahi kuwa bouncer wa club huko Uarabuni (Dubai, UAE).Wamehamia wapi? Kigamboni ni nini? Kimepigwa mnada na benki? Huyu jamaa alikuwaga anajadiliwa hadi msikitini Kinpndoni wazee walikuwa hawamtaki na mitkasi yake ya kupiga watu
Unajua haya mambo yana u_snitch mwingi sana. Kama ilikuwa ni idea ya Sugu kuja na hili tamasha ila wahuni wakamzunguka ni lazima "amaindi". Hata ingekuwa wewe ni wazi usingefurahi ila kwa kuwa inainekana waliomfanyia hivi wana nguvu kuliko yeye imebidi tu awe mpole. Ila ni mambo mabaya sana .Kama wanaleta figisu kuua kitu alichokianzia na fitina anafanyiwa, walitaka akae kimya?
Inashangaza eti kuna watu wanaamini KalaPina alikuwa Diwani! Wanaishi nchi gani hawa!?Diwani? Diwani wa wapi ? Aligombea udiwani ila hakushinda , alikua CUF
Sugu anakuaga mbele ya muda, ILa watu wanamzungukaUnajua haya mambo yana u_snitch mwingi sana. Kama ilikuwa ni idea ya Sugu kuja na hili tamasha ila wahuni wakamzunguka ni lazima "amaindi". Hata ingekuwa wewe ni wazi usingefurahi ila kwa kuwa inainekana waliomfanyia hivi wana nguvu kuliko yeye imebidi tu awe mpole. Ila ni mambo mabaya sana .
Tusisahau hata ile malaria campaign akina Ruge na Cliuds walimpindua wakati ile idea ilikuwa yake .
Hata Biigie Na Pac walikuwa friends tu hapo mwanzo kama ilivyokuwa kwa Boyz II Men wa Bongo "Edo na JK". Kwa hiyo hoja yako haina maana.Sasa mbona Sugu mwenyewe anamkubali?
Nje ya Bongo 1999 aliimba..
"..Maisha ni magumu lakini cheleapina nakuwa kama mchizi wangu KalaPina."?
Usikariri Maisha hata Ruge na JayDee walikuwa wanajifunika shuka moja. Lakini ilifikia wakati JayDee alisema akifariki Ruge asikanyage msibani kwake. Na alipoondoka Ruge, JayDee hakuonekana. Bila shaka hapa inaonekana wewe ndio nado unanyonya.Sasa mbona huyo Sugu mwenyews alikuwa anamkubali Pina kitambo?
Kumbuka kwenye wimbo wa ndani ya bongo wa mwaka 1996 Dola sol aliimba ".. Maisha ni magumu lakini chelea Pina nakuwa kama yule Gangstar Pina.."
Na Sugu mwenyewe kwenye Nje ya bongo wa mwaka 99 akaimba " Maisha ni magumu lakini chelea pina nakuwa kama mchizi wangu Kalapina"
Nyie watoto wadogo hamjui kitu enzi hizo mlikuwa mnanyonya
Mshamba ni KalaPina anayelazimika kufuata uelekeo wa upepo kama Bendera. Kuna wakati alikuwa anajinasbiisha na akina Ruge "clouds tv". Mwishowe si walimtosa!Sasa wewe na Pina nani mshamba?
Jamaa anajishusha sana kwa kuendelea kukomalia historia ya zamani. Nimemuweka mifano ya Pac na Biggie, JK na Edo, na Ruge & JayDee. Kama hataelewa hiyo ni wazi hataelewa milele.Sasa mbona unaandika kijuaji juaji sana bro kote juu huko umekalia kusema Sugu anamkubali Kalapina kwa sababu zamani aliimba verse mbili tatu kumsifia kwani wewe hujui kwenye maisha kuna marafiki kugombana au kutofautiana mawazo?
1999 mpaka leo miaka 27 imepita still utegemee mtu mwenye akili active kama Sugu aendelee kumkubali mvuta bangi unga na chawa wa wanasiasa uchwara?
PhillipoPia ana mabasi ya Jm .. maduka ya nguo nk . Kwa ufupi tu hana njaa
Wewe Moms boy umekariri vistory vya maskani tu tutusa wewe.Sasa wa kuhadithiwa ni mm au wewe?
Emu muulize kama hajawahi kuishi kinondoni mwanamboka?
Halafu tofauti ya gateman na mlinzi ni nn
Mbona unaleta ulimbukeni nigga!!
Wewe ndio hujui kinachoongelewaHata Biigie Na Pac walikuwa friends tu hapo mwanzo kama ilivyokuwa kwa Boyz II Men wa Bongo "Edo na JK". Kwa hiyo hoja yako haina maana.
Wewe choko kumbe hujielewiWewe Moms boy umekariri vistory vya maskani tu tutusa wewe.
Jose hajawahi kulinda Filling station, Jose aliajiliwa na BP HQ Kurasini ndio kituo chake cha kazi.
Jose Mpaka anapewa redundant BP na kupunguzwa kazini BP alikuwa hajahamia Kinondoni.
Amekuja UK mimi nipo UK na kaka yake Jose anaitwa Hartman Mbilinyi trip hiyo ametokea Sinza, acha vistory vya kuungaunga.
Halafu huyo Sugu wenu ndiyo mjue naye ana matatizo.Unajua haya mambo yana u_snitch mwingi sana. Kama ilikuwa ni idea ya Sugu kuja na hili tamasha ila wahuni wakamzunguka ni lazima "amaindi". Hata ingekuwa wewe ni wazi usingefurahi ila kwa kuwa inainekana waliomfanyia hivi wana nguvu kuliko yeye imebidi tu awe mpole. Ila ni mambo mabaya sana .
Tusisahau hata ile malaria campaign akina Ruge na Cliuds walimpindua wakati ile idea ilikuwa yake .