Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,097
Wewe kumbe ni mtu wa kuhadithiwa tu na vistory vya kuungaunga tu.Sasa na hiyo mistari ambayo Sugu anamsalute Pina
Ilikuwaje?
Acha hizo sugu wakati analinda Petrol station alikuwa anakaa nyuma ya mwanamboka
Sugu mwenyewe anamkubali Pina ijekuwa wewe
Pia ana mabasi ya Jm .. maduka ya nguo nk . Kwa ufupi tu hana njaaAmefunguwa Bereau de Change Mlimani City inaitwa Desderia.
Endelea kushangaa tu na Mbeya ana Desderia hotel.
Lile dole la kati huwa anawapa mafala kama wewe.View attachment 3645231
Yes uko sahihi, Indianapolis.Pina mtoto mdg sana kwa sugu kuhusu bongo fleva,
Block 41 ,kabla ya maskani kuitwa kikosi Cha mizinga, ilikua inaitwa Indiana na Sugu alikua mmoja wapo na Hashim Dogo
Na wewe umefungua nini?Amefunguwa Bereau de Change Mlimani City inaitwa Desderia.
Endelea kushangaa tu na Mbeya ana Desderia hotel.
Lile dole la kati huwa anawapa mafala kama wewe.View attachment 3645231
Mimi siyo Celeb pimbi wewe.Na wewe umefungua nini?
Haya mengine hayana ukweli.Pia ana mabasi ya Jm .. maduka ya nguo nk . Kwa ufupi tu hana njaa
Hao 99% uliotaja Nina uhakika ni 99% ya wasio mashabiki wa muziki wa hip hop hata kwa mbali. Huwez kuwa hip hop halafu usimjue Pina, uongo. Pina unamsikia kwenye malumbano gan tutajie hapa. Kwamba huzijui hizi ngomaI'm sure 99% humu hawafahamu hata wimbo mmoja wa huyo Kala Pina(this includes me), huwa anasikika kwenye ugonvi na malumbano tu exactly kama yule Wakazi ambaye yeye huwa ni critic tu(which is not bad) lakini eti wanamuita artist wakati hakuna hata wimbo wake mmoja unaofahamika.
Kala Pina anafaa kwenye udaku tu.
What do you mean unaposema fan? What has he achieved? Numbers zake zikoje kwenye digital platforms? Ana hit song yoyote ambayo leo nikiwasha channels za TZ iwe TV au Radio kwamba randomly nitaisikia?Hao 99% uliotaja Nina uhakika ni 99% ya wasio mashabiki wa muziki wa hip hop hata kwa mbali. Huwez kuwa hip hop halafu usimjue Pina, uongo. Pina unamsikia kwenye malumbano gan tutajie hapa. Kwamba huzijui hizi ngoma
-Mstari wa mbele
-Umoja ni nguvu
-Asiyekubali kushindwa
-Nyimbo tosha
Kwa hiyo hata "hip hop bila madawa inawezekana" nayo huijui?
Bro wewe sio fan wa muziki wa hip hop ya bongo tuwe wakweli.
Pina alinichekesha beef na King'oko ,jamaa alikua anaamini yeye ni mkali wa hip hop, Sasa watoto wa King'oko kupitia Babuu na Langa wakatoa heat song 'KIMBIA' ikaipoteza mstari wa mbele na kikosi chake akamaind, hakujua watoto wa King'oko wana WATU aliomba yaisheI'm sure 99% humu hawafahamu hata wimbo mmoja wa huyo Kala Pina(this includes me), huwa anasikika kwenye ugonvi na malumbano tu exactly kama yule Wakazi ambaye yeye huwa ni critic tu(which is not bad) lakini eti wanamuita artist wakati hakuna hata wimbo wake mmoja unaofahamika.
Kala Pina anafaa kwenye udaku tu.
Umeiweka vzr, MkuuWewe kumbe ni mtu wa kuhadithiwa tu na vistory vya kuungaunga tu.
Jose hajawahi kulinda Petrol Station, Jose alikuwa gate Man BP makao makuu Kurasini na alikuwa amepanga Mbagala.
Ni BP ndipo palipompa Sugu access ya kurekodi Album zake pale getini michongo ya mazabe ni kama yote Nigger amepiga sana pesa hili mimi sihadithiwi huyo tangu Mbeya day ni mtu tunafahamiana bado tuko teenegers.
Mimi naondoka Bongo Jose nimemuacha bado anakaa Mbagala, kuja Kiwanja ndio alitokea Kinondoni au Sinza i think, nimekuja first time Bongo ndio nakuta uzinduzi wa album yake ya Millenia.
Nimeipenda hiiNimemaliza kusoma comments zote, sijaona wapi sugu alipodisiwa, na sababu ya kudisiwa kwake
Ikiwapendeza, wekeni taarifa kamili ili tusome na kuelewa wote. Sio wote tunapatikana mjini Instagram
Mabange wawili wanasutanaKwani kuna nini?
Hahahaha,nyimbo zenyewe zilikua zinapigwa kibabe, DJ au presenter unatishwa sana ili upige nyimbo zake na zingine bila majani na Hashim Dogo kutia mikono zingekua za kawaida tuWhat do you mean unaposema fan? What has he achieved? Numbers zake zikoje kwenye digital platforms? Ana hit song yoyote ambayo leo nikiwasha channels za TZ iwe TV au Radio kwamba randomly nitaisikia?
Let me be honest, nyimbo(hip hop) za TZ na artists wa hip hop wa TZ nawafahamu sana lakini hapo hizo zote ulizozitaja za huyo Kala Pina hakuna hata mmoja ninaoufahamu, huyo huwa anasikika kwenye matukio tu tena ni kwenye matukio yenye controversies peke yake.
Weka challenge hapa fungua uzi watu waorodheshe all time top 100 hip hop hits za Kibongo tuone ni wangapi wataweka tracks za huyo Kala Pina.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mabange wawili wanasutana
Sasa wa kuhadithiwa ni mm au wewe?Wewe kumbe ni mtu wa kuhadithiwa tu na vistory vya kuungaunga tu.
Jose hajawahi kulinda Petrol Station, Jose alikuwa gate Man BP makao makuu Kurasini na alikuwa amepanga Mbagala.
Ni BP ndipo palipompa Sugu access ya kurekodi Album zake pale getini michongo ya mazabe ni kama yote Nigger amepiga sana pesa hili mimi sihadithiwi huyo tangu Mbeya day ni mtu tunafahamiana bado tuko teenegers.
Mimi naondoka Bongo Jose nimemuacha bado anakaa Mbagala, kuja Kiwanja ndio alitokea Kinondoni au Sinza i think, nimekuja first time Bongo ndio nakuta uzinduzi wa album yake ya Millenia.
Sasa swali gani unaniuliza we wakuja?Unajua maana ya cheleapina ? Pina mshamba tu hajui lolote
Na ushamba wake huoMaskani Indianapolis,nyuma ya Kumbukumbu Shule,now Kuna shed ya parking, Kalapina alikua mshamba tu,aongei kitu,Tena boya ku rap yenyewe kafundishwa na Hashim Dogo, yeye alikua baunsa tu
Nyie wote washamba tuBora umemchana anaileta ushamba wake kama Kalapina hapa , Kalapina boya TU hata Wana block 41.hatuna time nae, kaulize Block 41 khs Kalapina utaambiwa ushamba wake wa ki maku