Kalamu Yenye Siri ya Damu

Kalamu Yenye Siri ya Damu

Jamani jamani jamani...tangu nimeanza kuandika hadithi mitandaoni, nimeandika hadithi 80 mwanzo hadi mwisho, nyinginezo sizimalizii kwa kuwa natoa vitabu, wanaonunua vitabu hawalalamiki, wanalalamika wasiowaunga mkono waandishi...inashangaza sana.

Ukiona simalizii hadithi, nifuate inbox, inunue kwa njia ya WhatsApp ama nunua kitabu, utaimalizia....cha ajabu hadi Shunie anakasirika na wakati anaujua utaratibu a alishawahi kununua hadithi WhatsApp.

Hebu tubadilike...kuna hadithi za bure halafu kuna hadithi za kulipia...sasa nikitoa hadithi zote bure, nitakula nini? Nitavaa nini? Tujitahidi kuwaunga mkono watunzi, kama mtu amekuandikia hadithi si chini ya 80 bure, utakuwa huna fadhila ukilalamika kisa kakatisha hadithi 5 ili ulipie.

Hii hadithi imetolewa kitabu, ukiitaka nicheki kwa namba 0718069269.

Am done. Tuendelee na Bilionea Bazoka.
 
Hata insta ni hivi hivi halafu anafuta post zote za story hataki kusikiliza maoni yoyote amekuta huku jf kufuta hawezi yaani sijui yupoje jamani
ndio mana waandishi wenzie huwa wanamtenga kina mosenya walikua pamoja sa hizi kila mtu anhustle kivyake na yote naskia n nyemo haambiliki hashauriki no wonder kule global aliondoka itakua sabab n hiihii
 
Usilolijua ni usiku wa giza, unamzungumzia huyu George ninayetembea naye mikoani na kulala hoteli moja ama Mosenya mwingine?

Usiamini ya kuambiwa...acha uswahili. Ona ndiyo uamini.
 
ndio mana waandishi wenzie huwa wanamtenga kina mosenya walikua pamoja sa hizi kila mtu anhustle kivyake na yote naskia n nyemo haambiliki hashauriki no wonder kule global aliondoka itakua sabab n hiihii
Tatizo letu Waafrika ni lilelile, habari zetu tunashibishwa, mtu anasema "Unaambiwa ilikuwa hivi na bile, unaambiwa huko ni hatari..." kwa nini uambiwe? Kwa nini usione ndiyo useme?

Hakuna watu wenye ushirikiano kama waandishi ndio maana ni rahisi sana kuona leo waandishi tunakutana na kula pamoja. Sasa wewe unaambiwa tuna ulivyo na kichwa cha kukubali, unayabeba

Nenda Global, uliza kwa nini Nyemo kaondoka, halafu njoo useme tena. Nimeondoka kibabe, nineondoka wakati kampuni inanihitaji, kuondoka kwangu pale hakuna mtu atakayesahau, niliandika barua ya kuacha kazi, mpaka meneja hakuamini, si yeye tu, kila mtu hakuamini...nilichokisema ni kimoja tu...NATAKA NIENDE NIKAJIAJIRI. Na sikurudi nyuma japo nilitakiwa kurudi.

Sasa wewe ulivyo unasikia ya kuambiwaendelea kuambiwa hivyohivyo manake ndivyo tulivyo Waafrika...sikulaumu.
 
Jamani jamani jamani...tangu nimeanza kuandika hadithi mitandaoni, nimeandika hadithi 80 mwanzo hadi mwisho, nyinginezo sizimalizii kwa kuwa natoa vitabu, wanaonunua vitabu hawalalamiki, wanalalamika wasiowaunga mkono waandishi...inashangaza sana.

Ukiona simalizii hadithi, nifuate inbox, inunue kwa njia ya WhatsApp ama nunua kitabu, utaimalizia....cha ajabu hadi Shunie anakasirika na wakati anaujua utaratibu a alishawahi kununua hadithi WhatsApp.

Hebu tubadilike...kuna hadithi za bure halafu kuna hadithi za kulipia...sasa nikitoa hadithi zote bure, nitakula nini? Nitavaa nini? Tujitahidi kuwaunga mkono watunzi, kama mtu amekuandikia hadithi si chini ya 80 bure, utakuwa huna fadhila ukilalamika kisa kakatisha hadithi 5 ili ulipie.

Hii hadithi imetolewa kitabu, ukiitaka nicheki kwa namba 0718069269.

Am done. Tuendelee na Bilionea Bazoka.
Nyemo mimi wala silalamiki kuhusu kuuza WhatsApp mimi mpenzi wako sana unalifahamu hili mpaka nanunua WhatsApp unaniambia kabisa hii usipost jf nakusikiliza

Ninacholalamika mimi kwa nini ukatishe story useme unaishia hapa hakuna wafatiliaji hapa ndio tunalalamika jf wafatiliaji wengi wengine wasomaji wa kimyakimya na kukatisha story kwamba hakuna wafatiliaji unafanya hivi sana fb na insta watu wanafatilia wanasoma kimyakimya ukileta story iache tu watu wajisomee tu mpendwa ni hivyo na kama ya kununua WhatsApp tutanunua mbona we katisha hapa useme unauza tunakuja kununua
 
ndio mana waandishi wenzie huwa wanamtenga kina mosenya walikua pamoja sa hizi kila mtu anhustle kivyake na yote naskia n nyemo haambiliki hashauriki no wonder kule global aliondoka itakua sabab n hiihii
Nyemo sisi mashabiki zako ujue yaani sana mimi nimeanza kukusoma fb zamani sanaaa yaani sana kwahiyo tusikilize tu
 
Tatizo letu Waafrika ni lilelile, habari zetu tunashibishwa, mtu anasema "Unaambiwa ilikuwa hivi na bile, unaambiwa huko ni hatari..." kwa nini uambiwe? Kwa nini usione ndiyo useme?

Hakuna watu wenye ushirikiano kama waandishi ndio maana ni rahisi sana kuona leo waandishi tunakutana na kula pamoja. Sasa wewe unaambiwa tuna ulivyo na kichwa cha kukubali, unayabeba

Nenda Global, uliza kwa nini Nyemo kaondoka, halafu njoo useme tena. Nimeondoka kibabe, nineondoka wakati kampuni inanihitaji, kuondoka kwangu pale hakuna mtu atakayesahau, niliandika barua ya kuacha kazi, mpaka meneja hakuamini, si yeye tu, kila mtu hakuamini...nilichokisema ni kimoja tu...NATAKA NIENDE NIKAJIAJIRI. Na sikurudi nyuma japo nilitakiwa kurudi.

Sasa wewe ulivyo unasikia ya kuambiwaendelea kuambiwa hivyohivyo manake ndivyo tulivyo Waafrika...sikulaumu.
Mpaka sasa story yako watu wanaosoma kimya kimya ni elf 9 wanaochangia ni mia moja na kitu kwahiyo wasomaji kimyakimya ni wengi sanaa kuliko wachangiaji unatakiwa ulifahamu hilo nyemo na ukipost jf inasomwa uko google na watu ambao sio wanachama wa jf kaka angu unazidi kujitangaza tofauti ya jf na insta au fb ni hivyo
 
Nyemo mimi wala silalamiki kuhusu kuuza WhatsApp mimi mpenzi wako sana unalifahamu hili mpaka nanunua WhatsApp unaniambia kabisa hii usipost jf nakusikiliza

Ninacholalamika mimi kwa nini ukatishe story useme unaishia hapa hakuna wafatiliaji hapa ndio tunalalamika jf wafatiliaji wengi wengine wasomaji wa kimyakimya na kukatisha story kwamba hakuna wafatiliaji unafanya hivi sana fb na insta watu wanafatilia wanasoma kimyakimya ukileta story iache tu watu wajisomee tu mpendwa ni hivyo na kama ya kununua WhatsApp tutanunua mbona we katisha hapa useme unauza tunakuja kununua
Dah!! 😅 mpaka nimekuonea huruma...

Nyemo msikilize Shunie Kukusemesha kote huku bado unakaza...

Me mwenyewe namsoma sana... pamoja na waandishi wengine... kitambo tu...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom