Kalamu Yenye Siri ya Damu

Kalamu Yenye Siri ya Damu

Mpaka sasa story yako watu wanaosoma kimya kimya ni elf 9 wanaochangia ni mia moja na kitu kwahiyo wasomaji kimyakimya ni wengi sanaa kuliko wachangiaji unatakiwa ulifahamu hilo nyemo na ukipost jf inasomwa uko google na watu ambao sio wanachama wa jf kaka angu unazidi kujitangaza tofauti ya jf na insta au fb ni hivyo
Shunnie, unajua hakuna kitu mwandishi anafarijika nacho kama mapokeo, kusipokuwa na mapokeo unashindwa kuelewa, je watu wameipenda ama? Je, wanaichukia ama? Sasa unaandika maneno 1900, unaposti, watu hawasemi lolote lile, ni kama hawapo vile, say something, kama kuna kosa, kosoa umjenge mwandishi, kama amepatia, mpe neno lolote afarijike. Sasa unaandika...unaandika, hakuna response yoyote, huwezi kuendelea.

Pia hii hadithi nimeitolea kitabu, so kama mtu atahitaji, aje anunue, kati ya vitabu 2000 nimebaki na 48 tu, ukichelewa, kopi za pili mpaka mwaka kesho wezi wa tano.

Njooni tu tuungane kwa vitabu...hadithi za bure zitakuja mpaka mwisho.
 
Point in hiyo ya mwisho sasa kuwa umeikatisha sababu umeitolea kitabu na ungesema jamani nimeikatisha sababu nauza kitabu chake anaetaka anitafute hapo sawa

Sio kusema haina wafatiliaji ina wafatiliaji wengi sana wengine uvivu tu kucomments

Halafu na nyie wasomaji wa kimyakimya mmezidi mtoe hata likes basi kwa mwandishi jamani tufunge huu mjadala nyemo imeisha hiyo
 
Back
Top Bottom