Kalamu ya Mperembaji wa Rushwa kwa uteuzi wenye harufu ya Rushwa

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Viongozi walioteuliwa na Mwenyekiti wa CCM ni ishara kwamba hakuna kiongozi ndani ya chama hicho.
Nianze na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, kwa kipindi chote alichokaa Ruvuma hakuna jambo unaloweza kusema amefanya lakiubunifu na lenye tija kwa mkoa huu. Leo hii unamteua akapange mipango ya chama, means kwa uwezo wake anaenda kukaa ofisi Kama symbol tu huku dola ikiendelea kufanya shughuli za chama. Siamini Kama kwa uwezo alionao anaweza kwa namna yoyote ile kuja na strategy ya kukisaidia chama. Watuhumiwa tu alitamani kuwapiga ngumi,vipi walio kinyume na CCM ataelekeza wapigwe Nini?

Katibu mKuu (chaguo la Mzee Mangula) ambaye pia alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ana madoa mengi kiutawala. Kwanza huyu ameshiriki uchafuzi wa uchaguzi 2020. Amezungukwa na wapigaji akiwemo mwanamtandao (Diwani wa Makongo ) ambaye magazeti siku si nyingi yalidai amekamatwa kwa rushwa na akapigwa kesi ya uhujumu uchumi, siku si nyingi atafutiwa mashtaka. Lakini pia Mali alizonazo na taarifa zake ndani ya chama kwa awamu iliyopita zilitosha kuondolewa kwenye UDC kwa mpango uliokwisha kamilika ukisukwa na mtangulizi wake, kabla yakutiwa nguvuni likatokea tukio la 17/03 na hivyo mambo kuvurugika. Huyu ameshiriki na wakina Nape, Mwigulu na Kinana kudhulumu haki na chaguzi mbalimbali, wamebambikia watu kesi na Hadi Sasa wapo watu wamewekwa ndani kwa njama zake. Je, huyu ndiye mtu wakukabidhiwa chama? Kipi amefanya kipya chakuwekwa pale wakati huu ambao mapambano dhidi ya Rushwa nimakubwa au Ni zama za upigaji zimerejea?Kwamba huyu ndiye mshauri wa Mwenyekiti?

Katibu Mwenezi Wala haina haja yakumjadili kwa sababu tuhuma zake za Rushwa Morogoro zipo wazi na zilitamkwa adharani na Mhe. Rais aliyepita. Kwamba huyu tayari na tuhuma alizokuwa nazo ndiyo anakwenda kuendeleza mapambano dhidi ya Rushwa.?

Katika teuzi za aina hii unapata shida kujua kama kuna viongozi ndani ya CCM au kimebaki chama chakindugu ,kimtandao na kisasi? Kama chama kina viongozi wa aina hii na ni chama dola, serikali itapataje watu wenye ueledi? Kwanini kwa kauli moja tusikubaliane tu kwamba hakuna maendeleo yanayoweza kuletwa na watu wa aina hii?
 
Diwani wa CCM Kata ya Makongo jina Joseph Rwegasira anatafutwa na TAKUKURU kwa tuhuma za Utakatishaji Fedha na Kukwepa kodi, wenzake watatu washakamatwa.

Rwegasira ni miongon mwa watu wanaoifadhili CCM Kawe, siku ya Uchaguzi gari zake ndo zilitumika kusambaza kura feki

Tunakumbuka hiyo taarifa?
Tarehe 19/11/2020 TAKUKURU walitangaza kumtafuta huyu kijana, familia yake nahifahamu vyema...kilichotokea familia hii ilijinadi Gwajima na DC wanashughulikia asikamatwe. Sijui ilikuwaje mara tukasikia amekamatwa na ana kesi za uhujumi uchumi.

Leo aliyekuwa mtetezi wake ni Katibu mkuu wa chama dola,familia inashangilia atatoka. Hii Mona tu ya aina ya watawala tunaowateua. Watu wa aina hii uwezi kuaachia jukumu lakushauri chama maana wananuka Rushwa. Kinachokwenda kutokea nikutenguliwa kwa waliokamata wanamtandao wa Rushwa akiwemo kijana Rwegasira.

Wakati haya yanafanyika kwanini chama hakina wataalamu wakuchuja nakuja na viongozi wasio na doa?
 
from a neutral perspective haya tell us Nani msafi ili achaguliwe?
 
Jomba kwani wewe ni mwanasisiemuu? Si uwaache na chama lao mzee mkavu..kwan piripiri ya shamba yakuwashia nini?
 
Diwani wa CCM Kata ya Makongo jina Joseph Rwegasira anatafutwa na TAKUKURU kwa tuhuma za Utakatishaji Fedha na Kukwepa kodi, wenzake watatu washakamatwa.

Rwegasira ni miongon mwa watu wanaoifadhili CCM Kawe, siku ya Uchaguzi gari zake ndo zilitumika kusambaza kura feki

Tunakumbuka hiyo taarifa?
Tarehe 19/11/2020 TAKUKURU walitangaza kumtafuta huyu kijana, familia yake nahifahamu vyema...kilichotokea familia hii ilijinadi Gwajima na DC wanashughulikia asikamatwe. Sijui ilikuwaje mara tukasikia amekamatwa na ana kesi za uhujumi uchumi.

Leo aliyekuwa mtetezi wake ni Katibu mkuu wa chama dola,familia inashangilia atatoka. Hii Mona tu ya aina ya watawala tunaowateua. Watu wa aina hii uwezi kuaachia jukumu lakushauri chama maana wananuka Rushwa. Kinachokwenda kutokea nikutenguliwa kwa waliokamata wanamtandao wa Rushwa akiwemo kijana Rwegasira.

Wakati haya yanafanyika kwanini chama hakina wataalamu wakuchuja nakuja na viongozi wasio na doa?

Toka ulete thread kuhusisha Rais kumteua raia wa marekani bila uchunguzi , huwa sina imani na yote unayoaandika kwani naona kama ni majungu unapika kama ulivyotaka kulipika lile!!
 
Familia yake ilijinadi DC na Gwajima wanashughulikia.... Ila sio kwamba umemsikia dc akijinadi yeye kuwa atalishughulikia.
Je siku ukija kuambiwa ni DC ndio kamchoma huyo kijana baada ya kugundua kuwa ni mwizi na ndio kaamua kumuuza mazima ili aondokane na hiyo kashfa utafuta hii habar yako?
 
Diwani wa CCM Kata ya Makongo jina Joseph Rwegasira anatafutwa na TAKUKURU kwa tuhuma za Utakatishaji Fedha na Kukwepa kodi, wenzake watatu washakamatwa.

Rwegasira ni miongon mwa watu wanaoifadhili CCM Kawe, siku ya Uchaguzi gari zake ndo zilitumika kusambaza kura feki

Tunakumbuka hiyo taarifa?
Tarehe 19/11/2020 TAKUKURU walitangaza kumtafuta huyu kijana, familia yake nahifahamu vyema...kilichotokea familia hii ilijinadi Gwajima na DC wanashughulikia asikamatwe. Sijui ilikuwaje mara tukasikia amekamatwa na ana kesi za uhujumi uchumi.

Leo aliyekuwa mtetezi wake ni Katibu mkuu wa chama dola,familia inashangilia atatoka. Hii Mona tu ya aina ya watawala tunaowateua. Watu wa aina hii uwezi kuaachia jukumu lakushauri chama maana wananuka Rushwa. Kinachokwenda kutokea nikutenguliwa kwa waliokamata wanamtandao wa Rushwa akiwemo kijana Rwegasira.

Wakati haya yanafanyika kwanini chama hakina wataalamu wakuchuja nakuja na viongozi wasio na doa?
Eee bhana hebu ongeza nyama kidogo
 
Toka ulete thread kuhusisha Rais kumteua raia wa marekani bila uchunguzi , huwa sina imani na yote unayoaandika kwani naona kama ni majungu unapika kama ulivyotaka kulipika lile!!

Siyo kazi yangu kukufundisha Nini unapaswa kukiamini ila nijukumu letu Kama wananchi kuwakumbusha viongozi na wananchi pale wanapopotoka. Fuatilia Kama huyo mteule unayeulizia yupo kazini kwake, yupo zake Marekani anakula lockdown kama wamarekani wengine.

Lakini pia nikufundishe, atuishi jangwani tunaishi kwenye jamii ambayo matatizo na furaha zao si Siri. Jifunze kujifunza
 
Fuatilia Kama huyo mteule unayeulizia yupo kazini kwake, yupo zake Marekani anakula lockdown kama wamarekani wengine.
Unajua maana ya lockdown? Marekani watu wanatemba kokote kule mradi wafuate masharti ya kuvaa barakoa na kuobserve social distancing!! Na nyinyi sasa mmeambiwa mufuate masharti hayo hayo; utaita mko lockdown?

Uteuzi wa huyo bwana upo pale pale haujatenguliwa inspite ya majungu yenu!!!
 
Bashiru ally alifanya nn cha kukumbukwa akiwa SG
Kuandaa mipango ya kununua wapinzani?
Kuandaa mipango ya kushinda majimbo yote Tanzania?
Kabla hajapewa uongozi CCM alikuwa anakoseaje chama?
 
Back
Top Bottom