Kala Jeremiah ft Roma - Nchi ya ahadi

Kala Jeremiah ft Roma - Nchi ya ahadi

GANJA ROLLER

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
709
Reaction score
274
Japo Kala kamficha vibaya sana mchizi wa kitanga lakini idea ni kama ya kikao cha dharula ya Prof Jay ISIKILIZE VIZURI UTANAMBIA
 
nilikua natamani sana siku moja hivi vichwa vifanye colabo na sasa imekua japo sijaisikiliza ila naamini itakuwa bonge la pini
 
ROMA kazingua..

Kwanini aige style ya Prof Jay??

Pia sijaona jipya ni Idea ya Kikao cha dharura ya Prof Jay..

Wasanii waumize kichwa, wasiwe watu wa copy and paste.
 
Weka link bas au attach mp3 yenyewe hiyo
 
ROMA kazingua..

Kwanini aige style ya Prof Jay??

Pia sijaona jipya ni Idea ya Kikao cha dharura ya Prof Jay..

Wasanii waumize kichwa, wasiwe watu wa copy and paste.

halafu jamaa kama alikuwa kapaniki hivi mara achengane na kick sijui kilalulalu cha kuhofia kufunikwa
 
R.O..M.A siku hizi kapunguza kuimba kwa vurugu
 
Uwekeni hapa na sisi ambao atujausikia tuusikie ili nasi tuseme yetu pia.
 
They dont make a gud chemistry...wimbo wa kawaida sana
 
Nilitegemea makubwa.. kwenye hii joint..

Bora ya Bonta na "Mauwongo" ameumiza kichwa...
 
huu wimbo wmefanya poa sana na kila mmoja kajitahidi kubeba uhusika wake.kala kama mwananchi anayedai haki zake na roma kama kiongozi.idea ni tofauti na ya pro.jay kwani jay alizungumzia upande wa kampeni za viongozi ila kala na Roma wamezungumzia mambo mengi ya urasimu.kiukweli ni ngoma Fulani inayoitaji umakini ikiisikiliza..
 
nilikua natamani sana siku moja hivi vichwa vifanye colabo na sasa imekua japo sijaisikiliza ila naamini itakuwa bonge la pini
Mbona walishafanya kitambo sana ile ya WAAMBIENI hii ni ya pili nadhani.
 
Idea ni nzuri but tatizo ni Roma kuiga kabisa style ya Prof Jay, kama hujui unaweza jua track ni ya Kala na Prof Jay
 
Hii naweza sema ni updated version ya Ndiyo mzee but wameitwist kidogo, ngoma ni nzuri but Roma kazingua alipouga hadi flow ya Prof Jay, yaani kaiga hadi lile neno 'in fact' teh teh
 
wimbo una ujumbe mkubwa kwa serikali ya ile pale kwenye kula pesa zetu zetu za ESCROW ndo nimefurahi wamefikisha ujumbe kwa wahusika.
 
Back
Top Bottom