Mkuu naweza upata wapi maana nimeutafuta nineukosaa
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mkuu naweza upata wapi maana nimeutafuta nineukosaa
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Ndo nani uyo??
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hata mimi simjui maybe ni kiongozi mpya wa UAMSHO ngoja waje watueleze
Mwana HipHop MWINGINE.Ndo nani uyo??
We utakua ni fan wa mziki mwinginE, Uamsho hicho nacho ni kitu kinginE, Wakati mwinginE uulize usikisie vinginE, Wenye dini yao wasije kuanzishia menginE, Ukawajibu hovyo invisible akakupa BAN nyinginE, Usiwe kama wanaoamini hadi leo nyerere yupo penginE, hujamjua tu bado au nikuelekeze kwa lugha nyingiE, PenginE makofi ndo iwe lugha nyinginE...

Mwana HipHop MWINGINE.
Na hawa ndio vijana ambao ni taifa la kesho tunalowategemea poleni sana raisi wenu kawadanganya alisema atatoa ajira milioni moja matokeo yake ndio mnahangaika kama hivi
Wakati Msaafu kakojolea mwinginE...hahaaa
ukiacha hizo million moja me tayari nna ajira nyinginE, ipo ya kuajiriwa na ya kujiajiri nyinginE, Pengine nikawa ndo bosi wako we una guess vinginE, usinitegemee mimi bana wategemee wenginE, unavyomuita rais wenu we una rais mwinginE?, penginE uskute we ni raia wa nchi nyinginE, KwinginE wana uzalendo na kwao we mbona unawaza vinginE, unajiita TCU we ni jack bauer mwinginE?, ama ni mamluki umepandikizwa kuharibu Operation nyinginE...