VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 2,778
- 1,369
itarudi tu Tanganyika yangu
Askofu Kakobe aliyasema hayo 20.04.2014,Mungu ndiye aliyezigawa nchi na kuweka mipaka(MATENDO YA MITUME 17:24,26).Hivyo Tanganyika ni urithi tuliopewa na Mungu ili iwe urithi.Na kwahakika Tanganyika tumepewa urithi mwingi wa utajiri wa kila aina(ZABURI 16:6).Kuiondoa mipaka na kutoilinda ya Tanganyika yetu ni kujiletea laana(KUMBUKUMBU LATORATI 24:17).
Tanzania ni jina lililobuniwa na Mhindi. Halitokani na asili.
Libaki kwenye Muungano.
Tanganyika ni neno la asili kabisa
Kwa hiyo kumbe mipaka haikuwekwa kule Berlin? Na tuseme kuwa ile mipaka iliyowekwa Berlin ndiyo Mungu kaiweka na ile iliyowekwa na sisi wenyewe "haijawekwa na Mungu," right? Siamini kama kumbe Watumishi wa Mungu wameathiriwa na ukoloni kiasi hicho!
Kakobe yuko sahihi kabisa. Ukitaka kujua mpango wa Mungu ni lazima ufikirie kwa kina na usiangalie wakoloni wooote kwa mtizamo hasi na kila kitu walichokileta kwamba hakikua na faida kwa binadamu.
Mara nyingine wale waliotawaliwa ndo walitka kushindana na wa koloni kwa kutaka kutumia nguvu hata pale penye faida.
Mfano tu suala la maendeleo ya elimu kuna makabila walipinga mpaka shule na hospitali zisijengwe kwenye maeneo yao.Mashamba yasilimwe kwao n.k .Matokeo yake hata utawala wa kiafrika umeshindwa kufikia ndoto zao.
Bila wazungu kumsomesha Nyerere kupata Mpaka Masters na kuwa katika Kiwango cha Mzungu mweusi na akakuta kuna Radio,magazeti na vyombo vya usafiri vya kuzunguka nchi nzima ili aimarishe umoja ambao kwa kiwango kikubwa wakoloni walikua wameuweka chini ya mipaka ya nchi moja ya utawala wenye ulinzi mmoja na kiongozi mmoja, angewezaje kujua theories mbalimbali za sayansi ya siasa ambazo alizisoma na kuweza kumuongezea heshma na ujuzi wa kuwatawala makabila 120?
Wakoloni wana mabaya yao mengi na mazuri pia yapo kama ulivyo utawala wa CCM.
TANZANIA maana yake TAN(Tanganyika) ZAN(Zanzibar) na IA(INDIA) hilo jina sio letu. Aliyosema mtumishi wa Mungu ni ya rohöni, wachache wa rohoni wataelewa. Ila kumbuka asili haipotei lazima irudi.Tanzania ni jina lililobuniwa na Mhindi. Halitokani na asili.
Libaki kwenye Muungano.
Tanganyika ni neno la asili kabisa
"Neno la asili" lililobuniwa na Wajerumani, right?
Kwanini usingefikiria kuipata hiyo IA kwenye maneno yaliyobaki maana zipo hizo herufiTANZANIA maana yake TAN(Tanganyika) ZAN(Zanzibar) na IA(INDIA) hilo jina sio letu. Aliyosema mtumishi wa Mungu ni ya rohöni, wachache wa rohoni wataelewa. Ila kumbuka asili haipotei lazima irudi.
Kwanini usingefikiria kuipata hiyo IA kwenye maneno yaliyobaki maana zipo hizo herufi
Sio kweli ,mtu anayepigania haki ni jasiri.Kwa kawaida mawakala wa shetani wanakuwa majasiri kweli
Mchungaji huyu alikuwa anaheshimika sana lakini alivyojiingiza kwenye siasa na kutuambia kwamba ameoteshwa kwamba rais mpya[kipindi kile] angetoka upinzani hapo ndipo hadhi yake iliposhuka. Mchungaji kujiingiza kwenye siasa siyo kitu kibaya ila akifanya hivyo basi awe tayari kujibiwa kwa namna yoyote ambayo wananchi hutumia kuwajibu wanasiasa wengine[Heshima ya uchungaji inatoweka ]Sio kweli ,mtu anayepigania haki ni jasiri.