enzi zangu
Member
- Jan 10, 2015
- 53
- 8
safi sana kakobe
Hivi hawa maaskofu wamekuwa wanasiasa au? mtu unaenda kusali nshu ya urais inakujaje kanisani? huku naona nikwenda kubaya
Huu nao ni uposhajai !! Waliambiwa na nani??Hao viongozi wa dini wana matatizo ya akili? Si walishaambiwa mambo ya siasa waachie wenyewe?
huyu ni mtume wa mungu
amenena maneno mazuri nampongeza kwa sababu wa ccm wanatudharau cc kuwa
hatujui hivyo yote wayafanyayo gizani mungu huyaweka peupe hongera
kakobe kwa ujumbe mtamu shika neno hilo
Huu nao ni uposhajai !! Waliambiwa na nani??
Mwaka 2005 Walisema Kikwete ni chaguo la Mungu CCM Wakashangilia!!
Mwaka huu wanasema waumini wote wajitokeze na kujiandisha kisha kupiga kura ya hapana leo hii CCM wanasema wanamatizo!!
Huu ni Uhuni na upotoshaji wa CCM
Mbona mwaka 2010 Kikwete huyo huyo alitoa rai kwa Viongozi wa dini kufundisha makanisani elimu ya siasa kuhusu Mpiga kura sasa amebadilika??Nilimsikia kikwete jana TBC akiwatahadharisha viongozi wa dini kuweka pembeni siasa
1.CCM wamejipambanua kuwa ni Joka linalotakiwa kujivua Gamba
2.Rostam Azizi alijiuvua Gamba lakini Lowasa na Chenge waligoma[Pembe tatu]
3.Juzi Chenge akaweka wazi kuwa yeye ni Joka la Makengeza, hiyo ndo kazi ya Shetani
wewe utakuwa na matatizo makuwa hivi hujui bado hatari za nyaya za msongo mkubwa wa umeme kupita karibu na nyumba ?Mbona naye Kakobe aliwadanganya waumini wake kuhusu madhara ya nguzo za umeme kupita karibu na kanisa lake,na kuwaamurisha waumini wake eti walinde eneo la kanisa ili pasipitishwe umeme,watu wazima na heshima zao wakaacha familia zao na kija kukesha nje ya kanisa eti kulinda kanisa,hayo madhara mbona hatuyaoni ,kila mtu muongo !