Kakobe afafanua ni kwanini tumsifu Magufuli wakati ni sisi tunaolipa kodi

Mimi namuona Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam as the architect behind all the manoeuvre. He is rising to be very important person in the Magufuli regime. Inawezekana kuwa huyu jamaa ana kipaji kikubwa sana kikiambatana na mamlaka ktk Ku mobilize watu na kubadilisha mitazamo. Kwa ushawishi huu anaweza kuja kuwa mtu mkubwa sana ktk ngazi za kimaamuzi ya kinchi hapo mbeleni WHO KNOWS

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Na Kwanini aliyenunua pekee ? Kwa nini tusiwasifu waliolipa kodi? Maana bila wao zisingenunuliwa. Au Kwanini tusiwasifu TRA kwa kukusanya kodi,?
 
Back
Top Bottom