Kakamatwa live!!

hapo suala la privacy halipo na lisitumike kuficha uovu uliotendeka
there must be something wrong with the man,awe mkweli aombe radhi kwa madudu hayo,na mke awe chonjo na amrudishe jamaa katika mstari wa ndoa maana inaonekana jamaa akisafiri anamsahau wife na kuanza kubehave kama hana marriage responsibility.
Japo hakuna ushahidi wa 100% kweenye hizo picha lakini nia ovu inaonekana hivyo ni bora walimalize kwa busara
 
Mi jamani nashangaa sana, sina ndoa ndio lakini ni kweli kwamba kwenye ndoa kuna privacy ambazo ni very very hazitakiwi kuonekana na mke au mume? Na ikitokea zikionekana ni kosa? Jamani bora hata simu nitaelewa kwa sababu tuna chat nakutaniana na watu mbalimbali. Lakini camera kweli jamani, nayo ni siri tena yakuhifadhi madhambi kama hayo.

Mi nahisi wanaume na wanaweke wengine manalitumia hili neno privacy vibaya. Sijui nisaidieni ktk hili. Labda litanisaidia mbele ya safari.
 
Hivi camera ni vitu vya mumewe au ya familia???Kwanini kuangalia kwake ndo kuwe kavunja vows na sio mume kwenda kua na kufanya vituko huko????:twitch:

Na we shangaa?? labda kwenye vows siku hizi kuna hadi mipaka ya nini unaruhusiwa kushika? wapi unaruhusiwa kukanyaga? Eeehh kazi ipo.
 
haiyaa sasa kwanini alimuoa kama bado anaufuska anaoufanya...umenichekesha eti asimpekue mie ntampekuwa mpaka kwenye ukope...si wangu lazma hiyo kumpekuwa mpenz wako abuy..

Me 2, 3. 4: tena nakubaliana nawewe 100%...::clap2::clap2:
Na nani aliwadanganya kuwa kukiwepo zaidi ya mtu mmoja kuna privacy??? PRIVACY my foot, si ukae single uwe unadandia vimada maana hao watalazimika kukupekua TU kama hujawalipa mshiko wao, otherwise ur safe with them.
 
Sijaona hapa mbona Nakoma na wanamama wa humu ndani haya jamani LD unanikuna na mabusara yako yaani mtu 1 kama 200 vile na busara thnx.
 
Ndoa zina kazi!!Amuulize taratibu kwa upole labda atamwambia!Kama inaonyesha vitu vya mumewe vilikuwepo kwahiyo nae alikuwepo!Cha msingi ni kupata uhakika then aamue kama anaweza kusamehe na kusahau au kuachana nae!

apate uhakika gan?
ahh uhakika tayar
ni yeye akae awaze km anawza kumsamehe poa km ngumu asepe.fulstop.
nawasilisha
 
Sijaona hapa mbona Nakoma na wanamama wa humu ndani haya jamani LD unanikuna na mabusara yako yaani mtu 1 kama 200 vile na busara thnx.

Mwenzangu Derimto mi nashindwaga kushangaa kabisa.
Mume, Mke, unaniona hadi kusikoonekana bado una siri ambazo sitakiwi kuziona/hutakiwi kuziona.

Jamani jamani, kweli, soma changanya na zako, mi nitakupekuwa mpaka kwenye utumbo,
kama sio kope kama alivojisemea NR hapo juu.
Khaa si bora uishi tu peke yako, hayo yote ya nini, kama kweli unataka siri.
 
Mi jamani nashangaa sana, sina ndoa ndio lakini ni kweli kwamba kwenye ndoa kuna privacy ambazo ni very very hazitakiwi kuonekana na mke au mume? Na ikitokea zikionekana ni kosa? Jamani bora hata simu nitaelewa kwa sababu tuna chat nakutaniana na watu mbalimbali. Lakini camera kweli jamani, nayo ni siri tena yakuhifadhi madhambi kama hayo.

Mi nahisi wanaume na wanaweke wengine manalitumia hili neno privacy vibaya. Sijui nisaidieni ktk hili. Labda litanisaidia mbele ya safari.

kwnye ndoa no prvac
ukiona mwenzako anahubiri sana kuhusu prvac ujue kuna jambo

km uko huru na unajiamin prvac itatokea wap?
 
apate uhakika gan?
ahh uhakika tayar
ni yeye akae awaze km anawza kumsamehe poa km ngumu asepe.fulstop.
nawasilisha

Aisee Rose unaona haya mambo.
We have to think, Re-think, and think b4 we...........ndoa
 
kwnye ndoa no prvac
ukiona mwenzako anahubiri sana kuhusu prvac ujue kuna jambo

km uko huru na unajiamin prvac itatokea wap?

Yani Rose acha, haya mahubiri ya Privacy, sijui reference yake ni kitabu gani.
Manake, nashangaa na wanawake wengine wanahubiri hivo hivo.
 
Yani Rose acha, haya mahubiri ya Privacy, sijui reference yake ni kitabu gani.
Manake, nashangaa na wanawake wengine wanahubiri hivo hivo.

Wanadanganywa kwenye kitchen party za mitaani,private my foot,go have privacy with your mother not me!!!!nachukia sana hii mambo ya kila mtu ana simu mara kamera mara laptop yake......mwishowe utasikia hata hii pe......ni ya kwangu kaa nayo mbali.......l.o.l
 
ivi iz swwaga za uprivac anakuwa anakuja nazo kwenye ndoa au tangu muwe ubfrend anakuwa anakuambia ths wl b mine n that wl b yrs dont touch ma thngs n i wl do the same 2yrs?

apana kwa kweli nataka niwe huru kwenye kila kitu
ikiwa ngumu awai tu
siwez lea maradh yatakayohatarisha mapenz/ndoa yetu manake najua akililia sana prvac mwsho wa siku mapenz yatapeperuka

nataka km ameweka passwod kwa simu nijue
kwa laptop
kwa benk

ennhh ndo manake sasa alinioa nin km aniamin...staweza kumwibia wala kumfanyia vbaya kwa documents zake just niwe najua in case nikitaka kuperuz niperuz....yaan et ujui paswod ya cm ya mumeo...ahh kwa kwel angenidakia juu ya paa !!!!!!

namuandaa mapema tangia ugalfrend ajue nikoje...mimi sifch iweje anifiche?
km aniamin aseme bt si kunifanya mi km mimi mwz muda wote mapaswod kumi kumi
 
Yani Rose acha, haya mahubiri ya Privacy, sijui reference yake ni kitabu gani.
Manake, nashangaa na wanawake wengine wanahubiri hivo hivo.

yaaaaan uo upuuz kwangu itabd asahau
kujifanya uliberal right to prvac sjui kufanyaje?
ahh ataisoma namba

mwanzon kabsa ntampa darsa....baba issue ni km ivi so ukitaka upravc pllllsss go nxt door cz here isnt allowed.
 
Aisee Rose unaona haya mambo.
We have to think, Re-think, and think b4 we...........ndoa

to thk uku tukiwa tumesimama sikulala...dah DRAMA NI NYNG SANA KWENYE NDOA MPK INAOGOPESHA

SJUI wanabadirika badaye au ndo yote yapo ivo ivo ,....bt kwa ivi kawaida apana naju paswod zake zoooote labda aje abadirike ndoan
 
Habari wanajamvi,poleni na wkeend. Katika pitapita zangu wkend hii nimekutana na mwanadada mmoja kwa maelezo anahitaji ushaur kabla mambo hayajaharibika. Huyo dada amekuta picha za utupu za wanawake kwenye kamera ya mumewe ambae alikuwa safarin kwa mwezi mmoja. Kibaya hizo picha zinaonyesha mazingira, vitu kama mabeg ya mumewe yanaonekana wazi. Amemuuliza kama kawaida amekana vibaya na kamera anayo huyo dada. Ushauri wanajamvi hatua za kuchukua .Nawasilisha.

Amsamehe bure mumewe na kumkanya asirudie tena.
 
hii kali isee,

huyo mwanamke anapenda kujipa stress kwa kumpekua mumewe, yeye kazi yake ni kumpa vitu adimu mpaka mumewe asiwaze mpango wa nje!
 
Habari wanajamvi,poleni na wkeend. Katika pitapita zangu wkend hii nimekutana na mwanadada mmoja kwa maelezo anahitaji ushaur kabla mambo hayajaharibika. Huyo dada amekuta picha za utupu za wanawake kwenye kamera ya mumewe ambae alikuwa safarin kwa mwezi mmoja. Kibaya hizo picha zinaonyesha mazingira, vitu kama mabeg ya mumewe yanaonekana wazi. Amemuuliza kama kawaida amekana vibaya na kamera anayo huyo dada. Ushauri wanajamvi hatua za kuchukua .Nawasilisha.

Lakini akina dada mimi naanza kuwa na walakini katika post zenu. Mbona mnakwepa kusema kuwa matukio haya yanawahusu ninyi?? Mnaogopa nini?? Semeni ukweli tuwapeni ushauri!! Anyway, la kufanya hapo ni kwa huyo dada kuandaa mazingira mazuri kama vile kwenda bedroom, ajiweke sawa kimapozi ya mahaba kwa mumewe, wakiwa tayari kwenye rindi la mahaba, amwulize mumewe huku akimkuna kuna kidogo na kukisi!! Ambane, na kumwahidi kuwa akisema ukweli atamsamehe!! Mwisho akikubali kwa kukiri kosa, amsamehe kweli. Na maisha yataendelea vizuri!!! Akikurupuka akajikuta akiachika huku moyoni pengine bado anampenda!!
 
ivi inakuwaje mpaka mtu anaanza kumpiga mwenzie picha akiwa mtupu? ni wanakuwa wamekosa cha kufanya zat time au unakuwa huamini macho yako jinsi alivyo mpaka unaamua kuchukua kumbukumbu?
 
Back
Top Bottom