Kakakuona aonekana Dar

Kakakuona aonekana Dar

bado tuna akili za kuamini wanyama?? kweli tumelogwa.
 
Duhh ,,,mpaka wanyama wanaikubali Chadema , wewe binadamu mwenye akili timamu unasubiria nini?

kumbe hii tabia ya kukurupuka kama kuku anayetamia ni ya wanachadema wengi ee acha kukurupuka na kuropoka soma kwa umakini na uelewe
 
Kakakuona alikuwa na njaa na kiu akala unga na kunywa maji....

Hiyo hela aliinusa akijua msosi

Acheni kuamini wanyama
 
Kweli watu wanakiu ya Mungu wa kweli. Hii ni ishara tosha kabisa mwanadamu anahitaji nguvu ya Mungu aliye hai katika maisha yake. Bila Mungu hakuna utimilifu wala ukamilifu.

Mungu jifunue kwa watu wako Tanzania, wanakuhitaji katika maisha yao. Wafundishe namna ya kukuita ili uwaonyeshe mambo makubwa, magumu wasiyoyajua. Katika Jina la Yesu Kristo Na iwe hivyo!.
 
Ni hatari sana kwa taifa kuwa na watu wenye imani za mizimu yaani idol na kumuweka Mungu Mwenyezi pembeni. Mafanikio ya taifa ni ndoto kwa taifa hilo kwani Mungu pia hulipa kisogo na kukosa ulinzi hivyo shetani hutawala!
 
Acheni imani potofu na ushirikina wa TZ. Ni mnyama anapita zake. Kwanza sie ndo tumewavurugia imaya zao ndio maana wana randaranda
 
Ni utabiri gani wa kisiasa uliwahi kutabiriwa wa huyo kakakuona ukatimia kama alivyotabiri? je unajuaje kama kitendo cha yeye kuichagua bendera ya cdm ni ishara ya kuonesha kushindwa na si kushinda?

Tatizo ni kuhusisha circle ya maisha ya mnyama wa kawaida tu , Kakakuona na maisha na matukio ya binaadamu. Ukichunguza sana utagundua mara nyingi hawa wanyama huonekana wakati wa kiangazi, kwa nini? Hakuna cha ubashiri bali ni mtazamo wa baadhi ya watu. Jipange achana na imani za Kakakuona.
 
Back
Top Bottom