Kakakuona aonekana Dar

Kakakuona aonekana Dar

Kweli watu wanakiu ya Mungu wa kweli. Hii ni ishara tosha kabisa mwanadamu anahitaji nguvu ya Mungu aliye hai katika maisha yake. Bila Mungu hakuna utimilifu wala ukamilifu.

Mungu jifunue kwa watu wako Tanzania, wanakuhitaji katika maisha yao. Wafundishe namna ya kukuita ili uwaonyeshe mambo makubwa, magumu wasiyoyajua. Katika Jina la Yesu Kristo Na iwe hivyo!.

Code:

kwa hiyo kuna mungu aliyekufa?
 
Mungu aliyehai ni mmoja tu. Naye ni Mungu wa Israel, Niko ambaye Niko, Jehova Mungu wa Milele. miungu (prural) mingine yote ni mifu. Na kwa sababu ya ufu huo, haiwezi kufanya kazi ya Uungu japo inaaminiwa na kuabudiwa na makundi makundi ya watu. Lakini wingi wa wafuasi wake, haujaipa nguvu yoyote ya uungu na ndiyo sababu watu bado wanahitaji nguvu ya Ki Mungu ambayo, kwa kuwa hawaipati kule wanakoabudu, wanakusanyika hata kwa kakakuona kwa matumaini makubwa kwamba atawatendea wanayoyatamani.

Wangelikuwa wana Mungu wa Kweli, wasingeanza kuweka matumaini yao na kuuliza kwa kakakuona mambo ambayo Mungu anaweza kusema nao bila shaka yoyote kama wangelikuwa naye.

kwa hiyo kuna mungu aliyekufa?
 
Watu bhana.....eti kawekewa bendera mbili!!!
Haya endeleeni kusubiri utabiri utimie!
 
Back
Top Bottom