Kaka zako wanawake?

bomouwa

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,149
798
Habari wanajamvi?
Jamani naomba kufahamu usahihi wa lugha ya kiswahili..
Kwa mfano..
Mimi ninakaka zangu wawili na nikakutana na mtu anaefahamu familia yangu halafu akawa anauhitaji wa kujua kama kaka zangu walishapata webzi wao nadhani atauliza kama.ifuatavyo:
1.kaka zako wameoa?

Lakini je,vipi mtu huyo akiuliza
HIVI KAKA ZAKO WANAWAKE?
naomba michango juu ya hilo swali..
 
Back
Top Bottom