Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,157
- 166,115
dah waachenu tu wataanza kutongozana upya siku si nyingi
hakuna jembe karibu hapo uchukue then uende shambani?
Wameoana kwa ndoa ya Kikristo na kubahatika kupata watoto wawili, wote wa kike.
Tatizo ni kwamba mtoto mmoja yuko upande wa kiumeni na mwingine upande wa kikeni.
Pia baba na mama licha ya kuwa wana nyumba ya familia, kila mmoja ameikimbia na kwenda kupanga jirani na nyumba yao.
Na kibaya zaidi ukiwauliza habari za utengano wao wanakuwa wakali kuliko mwiba wa mbasa, sijui sisi kama ndugu tufanye nini ili kuinusuru ndoa hii.?
Mi nadhani hutakiwi kuingilia ndoa ya kaka yako hata siku moja ukizingatia we mdogo wako, unachoweza kutoa tu advice na kuendelea na maisha yako
Mkuu hapo hakubna cha kunusuru. Wameamua kutumia lugha ya picha kufikisha ujumbe. pengine kama ukifuatilia unaweza ambiwa hiyo nyumba washauza na kila mmoja kachapa lapa na chake. Ndoa ni noma kweli
Hi! Bebii, siku zote huwa nazipenda comment zako, zinaendana na Avatar yako.