afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,217
Kwa ruhusa yake nita wa PM no. Watu wote mtakaohitaji hio huduma. Katika makubaliano yenu kupima afya zenu iwe priority.
nitasoma maandishi yote especially maandisho madogo...
Kwa ruhusa yake nita wa PM no. Watu wote mtakaohitaji hio huduma. Katika makubaliano yenu kupima afya zenu iwe priority.
Sijui nikiite kipaji au nguvu au balaa .....
Kaka yangu wa kuzaliwa ana miaka 38 hajaoa, ana watoto wengi tu. Kaka yangu huyu amekuwa akizaa na wanawake wagumba au matasa kwa watoto wake wote.
Mtoto wa kwanza alizaa na mwanamke wa miaka 41 ambaye aliachika mara 4 kwa kukosa mtoto, na yeye pasipo kujua kuwa ana hicho kipaji alitembea na huyo dada na yule dada akapata ujauzito na kuzaa mtoto wa kiume. Alitaka waoane ila kaka yangu alikataa akasema kuwa huyo mama ni mkubwa kwake. Yule mama aliolewa na hajazaa tena mpaka leo.
Haikuishia hapo yule dada aliadisia marafiki zake ambao walikuwa hawapati mimba na kutokana na huruma ya kaka yangu akawa anawapa mbegu na wote wamepata watoto wa kiume.
Kisayansi sijui inakuwaje hapo.....
hii kali mshikaji wangu, na kama ni max nikiambiwa nikupe kwa ubunifu wa mambo nakupa >A<
yan fulu mauzo mwana!
bg up!
Mkuu sijaandika kwa kufurahisha watu au hadithi nachoandika ni kweli kwa uzuri kuna baadhi ya JF member wananijua wanajua hilo JEMBE/bro na kazi yake ya huruma kwa wagumba.
he is just super fertile. He's got super strong sperms.
super fertile?
Yale mambo ya zinc na pweza sio?
sina uhakika kwa sana kama madini ya zinki pia yanarutubisha manii. Nijuacho ni kwamba madini ya zinki ni muhimu sana katika uzalishaji wa homoni za kiume ambazo huhusika katika kuongeza hamu ya ngono.
Sasa huenda pia ukawepo uhusiano baina ya zinki na rutuba ya manii. Ngoja tusubiri maoni ya wengine.
unajua haya mambo unaweza kuambiwa
its dna...ukawa depressed kama hauko that super fertile lol
65 bado anaitwa binti?