HahahaMiss Natafuta, ushapata. Kama umeipenda site , wewe ndiye mwanamke aliyeotwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kila la kheri [emoji120][emoji120]
akio atatuambiaKumbuka yeye anaota kama ilivyo. Kama ni kufanikiwa angemwambia ameota amefanikiwa
haya tusubiriNdio imeotwa sasa.
Tusubiri kama haitatimia ndio tuseme haiotwi